ID za waliotangulia mbele za haki zinakutafakarisha nini?

P h a r a o h

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2024
Posts
785
Reaction score
1,413
kila mara nikikutana na ID imeandikwa "R I P" inanifanya niwaze mengi sana

kitu cha kwanza kuwaza au kukumbuka ambacho ni cha kawaida ni kwamba sisi tunaishi kwa muda tuu ila kuna alama inaweza kubaki kwa muda mrefu zaidi,

mfano kwa huku JF unaweza kutafuta kitu na ukakuta kuna mtu alianzisha bandiko tangu mwaka 2007 kuhusiana na kitu ulichokiwaza na ku search leo.

maisha ni mafupi na haijulikani hasa yanaishia muda gani?
kinachodumu zaidi ni kile ambacho ulikifanya ulikisema na kumbukumbu mbalimbali, ndo zinazo baki kwa muda mrefu zaidi...

kwenye mitandao mingine kama insta na fesbuk utakuta picha ndo kitu ambacho kinaweza kubaki kwa urahisi kutokana na aina ya mitandao hiyo,
picha inataambulisha taswira ya mtu pekee, na caption kidogo,

ila kwenye mtandao kama huu, utakuta kinachobaki hasa ni maneno na mawazo ya mtu yanabaki kupitia maandishi, kwenye mabandiko na kwenye replies.

naamini maandishi ya mtandaoni yanaweza kudumu kwa miaka mingi, kuliko miaka anayoishi mwanadamu kwaiyo hata baada ya miaka 100 ijayo, ambapo labda hautakwepo...

kuna watu watazidi kukutana na mawazo yako

kwaiyo mda mwingine pia tuwe na mtazamo wa kwamba mawazo yetu ya sasa tunayoweka mtandaoni yanaweza kutumiwa au kuonekana hadi na wajukuu au vizazi vya mbele zaidi, kipindi ambacho sisi hatupo tena...

hivyo kuna umuhimu pia wa kuachana na mambo yasio ya msingi sana ambayo ni mambo ya muda tuu, wakati alama yake inaweza kubaki kwa miaka mingi sana, hata sisi hatutakwepo labda.
na kujibu reply za mawazo yanayokuja miaka ambayo labda hatupo tena humu huwezi...

mimi naukubali sana huu mtandao wa JamiiForums kwasababu nimegundua wengi wa walio interested na JamiiForums wapo matured sana... sana, wapo matured sana kiakili.
 
Wengi wa jf sio watu wa ulimbukeni wa mitandao
 
Back
Top Bottom