ID zinazoniacha hoi zaidi JF nkizikumbuka huwa nacheka sana

ID zinazoniacha hoi zaidi JF nkizikumbuka huwa nacheka sana

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Hizi ID bhana huwa zinanichekesha sana kila nkizikumbuka na najiuliza wenyewe ni watu wazima sana,vijana pure au watu wa makamo au viongozi nazo ni hizi:-

*Nkongu Ndasu
*Mfitinishaji
*Nkunungu mkuyenge
*Jasho la kuku
*Mzee wa Fitna
*Koromije wa Dar
*kichwa kichafu
*Ndondocha mkuu
*Prof Ndumilakuwili
*Maharage ya ukweni
*Kidowle

TUPIA NA ZAKO ZINAZOKUFURAHISHA ZAIDI HAPA JF
 
Back
Top Bottom