Idadi ya miradi mikubwa inayotekelezwa na Rais Samia mkoani Mbeya

Ujenzi wa jengo la Kuhifadhia mizigo hasa ya bidhaa za mbogamboga(Cold room ) Songwe Airport πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Hii ni baada ya serikali kushindwa kuitekeleza na kuutelekeza mkoa wa Mbeya.
 
Hii ni baada ya serikali kushindwa kuitekeleza na kuutelekeza mkoa wa Mbeya.
Samia hajaitelekeza Mbeya,amekupa Kila heshima kuanzia Spika wa Bunge na miradi kedekede ya Maendeleo.

Songwe Airport pale ujenzi wa Cold room unaanza mwaka huu wa Fedha.

On top of that Kuna Ocean Road Cancer Institute Mbeya Branch inaendelea na Ujenzi πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Nani kasema Samia ameutelekeza mkoa wa Mbeya! Soma vizuri ndipo ujibu.
 

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1791850020410400832?t=KNAmfep7K0_GWoTUw2fHPw&s=19
 
Miradi inajengwa na Rais au na serikali?
Mbona watu wakiswma Rais anakopa sana wanajibu kwamba serikali ndio inakopa wala sio Rais.

Mbona ubadhirifu ukifanyika hamtaki Rais atajwe?
Vipi miundombinu ikiwa mibovu tuseme Rais amejenga madaraka na barabara mbovu?
Mama hataki machawa
 
Ni lini mliwahi sema Serikali inakopa sana bila kumtaja Rais Samia?

Hivyo hivyo pesa ni za Samia ndio Kiongozi.

Kazi zinaendelea Chunya πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/jrGSBae-7rc?feature=shared
 
UhakikaπŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C7PF9nVNcoO/?igsh=M3AxNTN4b3p1YnM1
 
Tunasema mimi na nani? Unafikiri unavyojifungia kwenye vyumba na machawa wenzako mkidanganyana muandike nini kila mtu anajikusanya? Aibu yako wewe usiejielewa
Aibu yangu ipi? Kusifia Serikali ikifanya vizuri au? 😁😁😁😁

Kama hiyo ndio aibu basi ndio naitaka,na wewe kazana kuponda tuone nani atakuwa anatumiaekwa chuki Mimi au wewe 🀣🀣

Bado hujasema Hadi useme πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…