ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaendelea na mada yetu ya utekelezwaji wa miradi mbalimbali mikoani.
Wiki Jana ilikuwa ni Kigoma,Leo nakuletea List ya miradi mikubwa Inayotekelezwa na Serikali ya Rais Samia Mkoani Mbeya.👇👇👇
1.Ujenzi wa Standi Kuu ya Mabasi na Soko la Sokomatola via Tactic
2.Ujenzi wa Barabara ya Njia 4 Nsalaga-Ifisi
3.Ujenzi wa Njia 4 Igawa-Tunduma km 272
4.Ujenzi wa Uyole Bypass km 50
5.Ujenzi wa barabara ya Katumba-Mbambo-Tukuyu km 50
6.Ujenzi wa barabara km 32 ,ibanda-Kajujumele-Ipinda port na Kajujimele-Kiwira Port.
7.Ujenzi wa barabara za Mitaa Jijini Mbeya Tactic km 12
8.Ujenzi wa barabara ya Makongolosi-Rungwa
9.Ujenzi wa Barabara za mradi wa AgriConnect Mbeya DC,Busokelo na Rungwe DC
10.Ujenzi wa Chuo Cha ADEM-Mbeya na Upanuzi wa Chuo Kikuu Cha Sayansi na Teknolojia Mbeya kuwa Kituo Cha Umahiri wa Teknolojia
11.Ujenzi wa jengo la Magonjwa ya Moyo Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya
12.Ujenzi wa Skimu 12 za Umwagiliaji Wilaya ya Mbarali na Kyela
13.Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Chanzo Cha Mto kiwira
14.Ukamilishaji wa uwanja wa ndege Songwe
15.Ujenzi wa awali wa uwanja wa maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Nanenane Uyole(John Mwakangale).
16.Ujenzi wa njia kubwa ya Umeme ya TAZA kv 400(Mbeya-Tinduma-Sumbawanga)
17.Ujenzi wa Avocado Packaging House Rungwe DC
18.Ujenzi wa Jengo la Gorofa 2 la OPD Rungwe DC Hospital Makandana.
19.Ujenzi wa Tawi la Taasisi ya Kansa ya Ocean Road.
20.Ujenzi wa Chuo Kikuu Udsm na Hospital ya kufundishia.
View: https://twitter.com/GiftKimaro7/status/1739995744067793394?t=gN1BV9nKmWeHcg9U_5G9lg&s=19
Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa ambayo utekelezwaji wake unaendelea katika hatua mbalimbali.
Aidha Kuna miradi mingine mikubwa ameikamilisha ambayo ni pamoja na ifuatayo;
-Amekamilisha Majengo ya Utawala(DED&DC) Wilaya za Busokelo ,Mbeya DC na Chunya DC
-Amekamilisha jengo la Wodi ya VIP Hospital ya Rufaa ya Kanda Meta
-Amekamilisha Hospital ya Jiji Igawilo,Mbarali na Busokelo.
-Amekamilisha Majengo ya Wodi na Dharura Hospital ya Mkoa wa Mbeya
-Amenunua na kufunga CT Scan na MRI Machine Hospital za Rufaa na Mkoa,OPG X Ray Mbarali DC
-Amekamilisha ujenzi wa Kasumulu One Inspection Border Post Kyela(Tzn/Malawi) Border
-Amekamilisha ujenzi wa Barabara ya Makongolosi-Chunga na kuizindua.
-Amekamilisha Mradi wa Maji Mbalizi na Chunya na kuzindua
-Amekamilisha njia ya mchepuko(Bypass) wa Mlima nyoka Uyole(Hakuna ajari tena,VP Mpango akizindua.
-Amekamilisha ujenzi wa Barabara za lami km 21 za Tarura Wilaya za Rungwe na Busokelo via Agri-Connect
-Amekamilisha Ukarabati wa Meli ya MV Mbeya inafanya kazi.
-Na majengo mengine ya Taasisi kama Ofisi ya Mkuu wa Mkoa,Mwendesha Mashtaka na alizindua.
-Amekamilisha ujenzi wa Hospital Mpya 2 za Wilaya za Mbarali na Busokelo
-Amefanikiwa kukuza uzalishaji wa mazao ya biashara na chakula eg pareto,mpunga na tumbaku.
-Amekamilisha Ujenzi wa Kituo Cha mauzo ya Madini ya Dhahabu
View: https://youtu.be/UGZ3ssKivwE?si=BHRbDZF0kdp2WrR0
My Take
Harafu unakutana na mtu kama Mwambukusi sijui Mdude eti anataka kuandamana 🤣🤣
Itoshe tuu kusema Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Samia na Kazi iendelee.
View: https://www.instagram.com/reel/Cyo-h4jNhx1/?igshid=ZzJwbDc2cHhrZnN6
Wewe upo Mbeya ya wapi? Igunga au? 👇👇Hivi hii Miradi ipo sehemu gani mbona sielewi,sokomatola ipi inajengwa? Stend kuu inajengwa wapi? Barabara za njia nne zimeanza kujengwa wapi? Kituo cha Ocean road kinajengwa wapi? Barabara za mitaa ipi zinajengwa? Mbona sielewi.
Au kuna Mbeya mbili?
Wewe upo Mbeya ya wapi? Igunga au? 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C8hRBU6M8Po/?igsh=MTlzeXg5ZmljemJpdw==
Hizo unazoita porojo zinaonesha nini kama sio miradi? Au wewe una picha ya miradi Yako kichwani?Bro acha ujinga onesha mitadi,Miradi, kutuwekea porojo,zinajengwa hewani au
Tunaendelea na mada yetu ya utekelezwaji wa miradi mbalimbali mikoani.
Wiki Jana ilikuwa ni Kigoma,Leo nakuletea List ya miradi mikubwa Inayotekelezwa na Serikali ya Rais Samia Mkoani Mbeya.👇👇👇
1.Ujenzi wa Standi Kuu ya Mabasi na Soko la Sokomatola via Tactic
2.Ujenzi wa Barabara ya Njia 4 Nsalaga-Ifisi
3.Ujenzi wa Njia 4 Igawa-Tunduma km 272
4.Ujenzi wa Uyole Bypass km 50
5.Ujenzi wa barabara ya Katumba-Mbambo-Tukuyu km 50
6.Ujenzi wa barabara km 32 ,ibanda-Kajujumele-Ipinda port na Kajujimele-Kiwira Port.
7.Ujenzi wa barabara za Mitaa Jijini Mbeya Tactic km 12
8.Ujenzi wa barabara ya Makongolosi-Rungwa
9.Ujenzi wa Barabara za mradi wa AgriConnect Mbeya DC,Busokelo na Rungwe DC
10.Ujenzi wa Chuo Cha ADEM-Mbeya na Upanuzi wa Chuo Kikuu Cha Sayansi na Teknolojia Mbeya kuwa Kituo Cha Umahiri wa Teknolojia
11.Ujenzi wa jengo la Magonjwa ya Moyo Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya
12.Ujenzi wa Skimu 12 za Umwagiliaji Wilaya ya Mbarali na Kyela
13.Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Chanzo Cha Mto kiwira
14.Ukamilishaji wa uwanja wa ndege Songwe
15.Ujenzi wa awali wa uwanja wa maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Nanenane Uyole(John Mwakangale).
16.Ujenzi wa njia kubwa ya Umeme ya TAZA kv 400(Mbeya-Tinduma-Sumbawanga)
17.Ujenzi wa Avocado Packaging House Rungwe DC
18.Ujenzi wa Jengo la Gorofa 2 la OPD Rungwe DC Hospital Makandana.
19.Ujenzi wa Tawi la Taasisi ya Kansa ya Ocean Road.
20.Ujenzi wa Chuo Kikuu Udsm na Hospital ya kufundishia.
View: https://twitter.com/GiftKimaro7/status/1739995744067793394?t=gN1BV9nKmWeHcg9U_5G9lg&s=19
Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa ambayo utekelezwaji wake unaendelea katika hatua mbalimbali.
Aidha Kuna miradi mingine mikubwa ameikamilisha ambayo ni pamoja na ifuatayo;
-Amekamilisha Majengo ya Utawala(DED&DC) Wilaya za Busokelo ,Mbeya DC na Chunya DC
-Amekamilisha jengo la Wodi ya VIP Hospital ya Rufaa ya Kanda Meta
-Amekamilisha Hospital ya Jiji Igawilo,Mbarali na Busokelo.
-Amekamilisha Majengo ya Wodi na Dharura Hospital ya Mkoa wa Mbeya
-Amenunua na kufunga CT Scan na MRI Machine Hospital za Rufaa na Mkoa,OPG X Ray Mbarali DC
-Amekamilisha ujenzi wa Kasumulu One Inspection Border Post Kyela(Tzn/Malawi) Border
-Amekamilisha ujenzi wa Barabara ya Makongolosi-Chunga na kuizindua.
-Amekamilisha Mradi wa Maji Mbalizi na Chunya na kuzindua
-Amekamilisha njia ya mchepuko(Bypass) wa Mlima nyoka Uyole(Hakuna ajari tena,VP Mpango akizindua.
-Amekamilisha ujenzi wa Barabara za lami km 21 za Tarura Wilaya za Rungwe na Busokelo via Agri-Connect
-Amekamilisha Ukarabati wa Meli ya MV Mbeya inafanya kazi.
-Na majengo mengine ya Taasisi kama Ofisi ya Mkuu wa Mkoa,Mwendesha Mashtaka na alizindua.
-Amekamilisha ujenzi wa Hospital Mpya 2 za Wilaya za Mbarali na Busokelo
-Amefanikiwa kukuza uzalishaji wa mazao ya biashara na chakula eg pareto,mpunga na tumbaku.
-Amekamilisha Ujenzi wa Kituo Cha mauzo ya Madini ya Dhahabu
View: https://youtu.be/UGZ3ssKivwE?si=BHRbDZF0kdp2WrR0
My Take
Harafu unakutana na mtu kama Mwambukusi sijui Mdude eti anataka kuandamana 🤣🤣
Itoshe tuu kusema Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Samia na Kazi iendelee.
View: https://www.instagram.com/reel/Cyo-h4jNhx1/?igshid=ZzJwbDc2cHhrZnN6
Sio tuu makwale,Mbarali na Kyela Kuna miradi ya mabilioni ya Umwagiliaji takribani Bilioni 100 kwa pamojaUmesaahau ujenzi wa mradi Mkubwa wa Umwagiliaji wa MAKWALE, KYELA. Mradi wa kwanza wa nfanon wa Serikali wa Umwagiliaji wa technolojia pipes.
Tunaendelea na mada yetu ya utekelezwaji wa miradi mbalimbali mikoani.
Wiki Jana ilikuwa ni Kigoma,Leo nakuletea List ya miradi mikubwa Inayotekelezwa na Serikali ya Rais Samia Mkoani Mbeya.👇👇👇
1.Ujenzi wa Standi Kuu ya Mabasi na Soko la Sokomatola via Tactic
2.Ujenzi wa Barabara ya Njia 4 Nsalaga-Ifisi
3.Ujenzi wa Njia 4 Igawa-Tunduma km 272
4.Ujenzi wa Uyole Bypass km 50
5.Ujenzi wa barabara ya Katumba-Mbambo-Tukuyu km 50
6.Ujenzi wa barabara km 32 ,ibanda-Kajujumele-Ipinda port na Kajujimele-Kiwira Port.
7.Ujenzi wa barabara za Mitaa Jijini Mbeya Tactic km 12
8.Ujenzi wa barabara ya Makongolosi-Rungwa
9.Ujenzi wa Barabara za mradi wa AgriConnect Mbeya DC,Busokelo na Rungwe DC
10.Ujenzi wa Chuo Cha ADEM-Mbeya na Upanuzi wa Chuo Kikuu Cha Sayansi na Teknolojia Mbeya kuwa Kituo Cha Umahiri wa Teknolojia
11.Ujenzi wa jengo la Magonjwa ya Moyo Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya
12.Ujenzi wa Skimu 12 za Umwagiliaji Wilaya ya Mbarali na Kyela
13.Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Chanzo Cha Mto kiwira
14.Ukamilishaji wa uwanja wa ndege Songwe
15.Ujenzi wa awali wa uwanja wa maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Nanenane Uyole(John Mwakangale).
16.Ujenzi wa njia kubwa ya Umeme ya TAZA kv 400(Mbeya-Tinduma-Sumbawanga)
17.Ujenzi wa Avocado Packaging House Rungwe DC
18.Ujenzi wa Jengo la Gorofa 2 la OPD Rungwe DC Hospital Makandana.
19.Ujenzi wa Tawi la Taasisi ya Kansa ya Ocean Road.
20.Ujenzi wa Chuo Kikuu Udsm na Hospital ya kufundishia.
21.Ujenzi wa Scheme ya Umwagiliaji Mbarali na Kyela eg Makwale
View: https://twitter.com/GiftKimaro7/status/1739995744067793394?t=gN1BV9nKmWeHcg9U_5G9lg&s=19
Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa ambayo utekelezwaji wake unaendelea katika hatua mbalimbali.
Aidha Kuna miradi mingine mikubwa ameikamilisha ambayo ni pamoja na ifuatayo;
-Amekamilisha Majengo ya Utawala(DED&DC) Wilaya za Busokelo ,Mbeya DC na Chunya DC
-Amekamilisha jengo la Wodi ya VIP Hospital ya Rufaa ya Kanda Meta
-Amekamilisha Hospital ya Jiji Igawilo,Mbarali na Busokelo.
-Amekamilisha Majengo ya Wodi na Dharura Hospital ya Mkoa wa Mbeya
-Amenunua na kufunga CT Scan na MRI Machine Hospital za Rufaa na Mkoa,OPG X Ray Mbarali DC
-Amekamilisha ujenzi wa Kasumulu One Inspection Border Post Kyela(Tzn/Malawi) Border
-Amekamilisha ujenzi wa Barabara ya Makongolosi-Chunga na kuizindua.
-Amekamilisha Mradi wa Maji Mbalizi na Chunya na kuzindua
-Amekamilisha njia ya mchepuko(Bypass) wa Mlima nyoka Uyole(Hakuna ajari tena,VP Mpango akizindua.
-Amekamilisha ujenzi wa Barabara za lami km 21 za Tarura Wilaya za Rungwe na Busokelo via Agri-Connect
-Amekamilisha Ukarabati wa Meli ya MV Mbeya inafanya kazi.
-Na majengo mengine ya Taasisi kama Ofisi ya Mkuu wa Mkoa,Mwendesha Mashtaka na alizindua.
-Amekamilisha ujenzi wa Hospital Mpya 2 za Wilaya za Mbarali na Busokelo
-Amefanikiwa kukuza uzalishaji wa mazao ya biashara na chakula eg pareto,mpunga na tumbaku.
-Amekamilisha Ujenzi wa Kituo Cha mauzo ya Madini ya Dhahabu
View: https://youtu.be/UGZ3ssKivwE?si=BHRbDZF0kdp2WrR0
My Take
Harafu unakutana na mtu kama Mwambukusi sijui Mdude eti anataka kuandamana 🤣🤣
Itoshe tuu kusema Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Samia na Kazi iendelee.
View: https://www.instagram.com/reel/Cyo-h4jNhx1/?igshid=ZzJwbDc2cHhrZnN6
Hapa Sasa umeongea nini wewe ndugu ?Huko Mbeya haipo serikali ya Tanzania! Mmeamua kuasi na kujitenga.
Nikutafunie, miradi yote na pesa hupitishwa na bunge la bajeti na fedha za utekelezaji hutolewa na wizara ya fedha.Hapa Sasa umeongea nini wewe ndugu ?
Sawa ila ni kazi na juhudi za Samia.Mengine ni wivu unakusumbua 😁😁Nikutafunie, miradi yote na pesa hupitishwa na bunge la bajeti na fedha za utekelezaji hutolewa na wizara ya fedha.