Idadi ya miradi mikubwa inayotekelezwa na Rais Samia mkoani Mbeya

Hivi hii Miradi ipo sehemu gani mbona sielewi,sokomatola ipi inajengwa? Stend kuu inajengwa wapi? Barabara za njia nne zimeanza kujengwa wapi? Kituo cha Ocean road kinajengwa wapi? Barabara za mitaa ipi zinajengwa? Mbona sielewi.
Au kuna Mbeya mbili?
 
Kazi zinaongea πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C8hRBU6M8Po/?igsh=MTlzeXg5ZmljemJpdw==
 
Umesaahau ujenzi wa mradi Mkubwa wa Umwagiliaji wa MAKWALE, KYELA. Mradi wa kwanza wa nfanon wa Serikali wa Umwagiliaji wa technolojia pipes.
 
Umesaahau ujenzi wa mradi Mkubwa wa Umwagiliaji wa MAKWALE, KYELA. Mradi wa kwanza wa nfanon wa Serikali wa Umwagiliaji wa technolojia pipes.
Sio tuu makwale,Mbarali na Kyela Kuna miradi ya mabilioni ya Umwagiliaji takribani Bilioni 100 kwa pamoja
 
Huko Mbeya haipo serikali ya Tanzania! Mmeamua kuasi na kujitenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…