Idadi ya miradi mikubwa inayotekelezwa na Rais Samia mkoani Mbeya

Idadi ya miradi mikubwa inayotekelezwa na Rais Samia mkoani Mbeya

Mwambie uweso Dar hakuna maji . Acheni upumbavu
Mpumbavu ni wewe ambae hauna maji.

Mada ni Mbeya ,siwezi jadili Dar Kwa wapuuzi wasiotaka kulipa Kodi wakati Huduma wanataka,mkome kabisa na Hilo joto mtajua hamjui, pumbavu zenu.
 
Mpumbavu ni wewe ambae hauna maji.

Mada ni Mbeya ,siwezi jadili Dar Kwa wapuuzi wasiotaka kulipa Kodi wakati Huduma wanataka,mkome kabisa na Hilo joto mtajua hamjui, pumbavu zenu.
Wewe ni mpumbavu usiyejua ukisemacho zaidi ya kuwa chawa. Tofautisha kutolipa bill na maji kutotoka kabisa .
Umekalia tu kukata mauno na kunengua kama hadija kopa akiwa pale kizota jwenye vikao vya maamuzi ya juu ya ccm.
Huku ukisifu na kuabudu kama kasuku. Unaitika kila mwimbo
 
Nimesema hivi na narudia hapa Huwa nikiona watu wa Dar mnakenua meno na kuvuja kamasi kwenye macho Kwa kukosa maji Huwa nafurahi sana.

Nyie wapumbavu mlikataa tozo ya miamala Ili Serikali ipate pesa za maji mnajifanya wajuaji,nendeni Kwa Machadema wawape maji mapunguani nyie.
 
Wewe ni mpumbavu chadema wanaingiaje hapo. Mbezi beach hakuna maji wanaathirika chadema na ccm wote kwa pamoja. Kwa ujinga wako unaingiza mambo ya siasa kama hayawani.
Miaka ya nyuma maji yaliyoka na hapakuwa na tozo. Unawezaje kuzungumzia mahusiano ya maji na tozo kama siyo mjinga?
Kwani kodi si inalipwa?
Ati nawe ni mpiga zumari/ mbinje wa samia? Kazi ipo
 
Unasumbuliwa na ujinga wa KIHALAIKI
Unajingishwa nawe unakubali
 
Wewe ni mpumbavu chadema wanaingiaje hapo. Mbezi beach hakuna maji wanaathirika chadema na ccm wote kwa pamoja. Kwa ujinga wako unaingiza mambo ya siasa kama hayawani.
Miaka ya nyuma maji yaliyoka na hapakuwa na tozo. Unawezaje kuzungumzia mahusiano ya maji na tozo kama siyo mjinga?
Kwani kodi si inalipwa?
Ati nawe ni mpiga zumari/ mbinje wa samia? Kazi ipo
Wewe fala nenda Kwa Machadema waliposema tozo ya miamala ni.kubws sana ukachote maji bwege wewe.

Na mkome na Hilo joto ogeeni na Kupikia majasho yenu na mikojo
 
Hamia Ufipa ukachote maji 😂😂
Sweeping statements. Ni dalili ya kushindwa kujibu hoja. Unafikiri kila anayeona mambo kwa jicho tofauti anapaswa kuwa mwanasiasa. Ujinga wa kihalaiki unakusumbua mkuu.
Unaambiwa HAMNA MAJI. Wewe mara
Tozo
Ufipa
Bills
Nk
Sasa unasimamiaa hoja gani?
Ati nawe ni mpiga mbinja wa SSH nchi hii ina shida kwelikweli
 
We fala usinichafulie Uzi,kama una mapovu anzisha Uzi wa Dar au Hamia Ufipa ukachote maji 😂😂
Unalipwa shilingi ngapi kwa kuandika ujinga usiotaka hata usipingwe? Hoja hujibiwa kwa hoja siyo matusi
CHAWA MKUBWA KABISA WEWE .
Ati nawe ni mpiga mbinja wa samia. Maajabu hayatakaa yaishe
 
Tunaendelea na mada yetu ya utekelezwaji wa miradi mbalimbali mikoani.

Baada ya Kigoma,Leo nakuletea List ya miradi mikubwa Inayotekelezwa na Serikali ya Rais Samia Mkoani Mbeya.👇👇👇

View: https://youtu.be/acxXOqIErks?si=XwN9Jex98ouAFUcJ

1.Ujenzi wa Standi Kuu ya Mabasi na Soko la Sokomatola via Tactic

2.Ujenzi wa Barabara ya Njia 4 Nsalaga-Ifisi

3.Ujenzi wa Njia 4 Igawa-Tunduma km 272

4.Ujenzi wa Uyole Bypass km 50

5.Ujenzi wa barabara ya Katumba-Mbambo-Tukuyu km 50

6.Ujenzi wa barabara km 32 ,ibanda-Kajujumele-Ipinda port na Kajujimele-Kiwira Port.

7.Ujenzi wa barabara za Mitaa Jijini Mbeya Tactic km 12

8.Ujenzi wa barabara ya Makongolosi-Rungwa

9.Ujenzi wa Barabara za mradi wa AgriConnect Mbeya DC,Busokelo na Rungwe DC

10.Ujenzi wa Chuo Cha ADEM-Mbeya na Upanuzi wa Chuo Kikuu Cha Sayansi na Teknolojia Mbeya kuwa Kituo Cha Umahiri wa Teknolojia

11.Ujenzi wa jengo la Magonjwa ya Moyo Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya

12.Ujenzi wa Skimu 12 za Umwagiliaji Wilaya ya Mbarali na Kyela

13.Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Chanzo Cha Mto kiwira

14.Ukamilishaji wa uwanja wa ndege Songwe

15.Ujenzi wa awali wa uwanja wa maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Nanenane Uyole(John Mwakangale).

16.Ujenzi wa njia kubwa ya Umeme ya TAZA kv 400(Mbeya-Tinduma-Sumbawanga)

17.Ujenzi wa Avocado Packaging House Rungwe DC

18.Ujenzi wa Jengo la Gorofa 2 la OPD Rungwe DC Hospital Makandana.

19.Ujenzi wa Tawi la Taasisi ya Kansa ya Ocean Road.

20.Ujenzi wa Chuo Kikuu Udsm na Hospital ya kufundishia.

21.Ujenzi wa Scheme ya Umwagiliaji Mbarali na Kyela eg Makwale

22.Ujenzi wa Stendi Mpya ya Mabasi Chunya.

23.Upanuzi wa Kiwanda Cha Mbeya Cement,Pepsi na TBL

View: https://twitter.com/GiftKimaro7/status/1739995744067793394?t=gN1BV9nKmWeHcg9U_5G9lg&s=19

Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa ambayo utekelezwaji wake unaendelea katika hatua mbalimbali.

Aidha Kuna miradi mingine mikubwa ameikamilisha ambayo ni pamoja na ifuatayo;
-Amekamilisha Majengo ya Utawala(DED&DC) Wilaya za Busokelo ,Mbeya DC na Chunya DC
-Amekamilisha jengo la Wodi ya VIP Hospital ya Rufaa ya Kanda Meta
-Amekamilisha Hospital ya Jiji Igawilo,Mbarali na Busokelo.
-Amekamilisha Majengo ya Wodi na Dharura Hospital ya Mkoa wa Mbeya
-Amenunua na kufunga CT Scan na MRI Machine Hospital za Rufaa na Mkoa,OPG X Ray Mbarali DC
-Amekamilisha ujenzi wa Kasumulu One Inspection Border Post Kyela(Tzn/Malawi) Border
-Amekamilisha ujenzi wa Barabara ya Makongolosi-Chunga na kuizindua.
-Amekamilisha Mradi wa Maji Mbalizi na Chunya na kuzindua
-Amekamilisha njia ya mchepuko(Bypass) wa Mlima nyoka Uyole(Hakuna ajari tena,VP Mpango akizindua.
-Amekamilisha ujenzi wa Barabara za lami km 21 za Tarura Wilaya za Rungwe na Busokelo via Agri-Connect
-Amekamilisha Ukarabati wa Meli ya MV Mbeya inafanya kazi.
-Na majengo mengine ya Taasisi kama Ofisi ya Mkuu wa Mkoa,Mwendesha Mashtaka na alizindua.
-Amekamilisha ujenzi wa Hospital Mpya 2 za Wilaya za Mbarali na Busokelo
-Amefanikiwa kukuza uzalishaji wa mazao ya biashara na chakula eg pareto,mpunga na tumbaku.
-Amekamilisha Ujenzi wa Kituo Cha mauzo ya Madini ya Dhahabu

View: https://youtu.be/UGZ3ssKivwE?si=BHRbDZF0kdp2WrR0

My Take
Harafu unakutana na mtu kama Mwambukusi sijui Mdude eti anataka kuandamana 🤣🤣

Itoshe tuu kusema Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Samia na Kazi iendelee.

View: https://www.instagram.com/reel/Cyo-h4jNhx1/?igshid=ZzJwbDc2cHhrZnN6

View: https://youtu.be/E3DBRRrq0Dk?si=b5lcOBA0TIsFaFI4

KIGAILA INABIDI ASOME HAPA AONE MIRADI YA MAMA
 
Back
Top Bottom