Ivi zamani kidogo wanawake walikua wakivaa idadi ya nguo zisizopungua tano yaani sidiria, blause,chupi,underskirt, na skirt yenyewe ila sikuiz kuna wakati zinavaliwa nguo tatu chupi,suruali na blause na wakati mwingine moja kabisa yaani dera tyu nini tatizo sijajua?