Idadi ya vifo Matetemeko Venezuela yafikia 3,342 na Majeruhi 16,470

Idadi ya vifo Matetemeko Venezuela yafikia 3,342 na Majeruhi 16,470

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Idadi ya vifo kutokana na matetemeko mawili ya ardhi yaliyotokea nchini Venezuela imeongezeka na kufikia 3,342, kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na wizara ya habari ya nchi hiyo siku ya Jumapili, Julai 5, 2026

Takwimu hizo mpya pia zinaonyesha kuwa idadi ya majeruhi imefikia 16,470, huku watu waliobaki bila makazi wakiongezeka na kufikia 17,345. Mapema siku hiyo, kwenye hotuba ya kuadhimisha miaka 215 ya uhuru wa Venezuela, Rais wa mpito Delcy Rodriguez alitetea hatua zilizochukuliwa na serikali baada ya maafa hayo.

Hatua hiyo imekuja huku kukiwa na hasira zinazozidi kuongezeka kutoka kwa wananchi, wengi wao wakilalamikia kile walichokiita kuwa ni ucheleweshaji na kusuasua kwa misaada.

Rodriguez alisema alituma vikosi vya usalama mara moja na akatangaza kuundwa kwa kitengo kipya cha jeshi kitakachosaidia kukabiliana na dharura pamoja na majanga.

1783317140878.png

============

The death toll from Venezuela's twin quakes has risen to 3,342, ‌according to numbers released by the Venezuelan information ministry on Sunday.

The new tally also puts the number of ⁠injured at 16,470 while the number of homeless has risen to 17,345. Earlier in the day, in a speech commemorating Venezuela's 215th independence day, interim President Delcy Rodriguez defended ‌the ⁠government's actions following the quakes amid growing frustration over what many have called a delayed and ⁠inadequate response to the disaster.

Rodriguez said she deployed security forces immediately ⁠and announced the creation of a new military unit ⁠to help deal with emergencies and disasters.

Soma pia

Source: Reuters
 
Back
Top Bottom