Idadi ya wagonjwa wanaoshukiwa kuwa na Ebola katika jimbo la Kasai kusini mwa Congo imeongezeka maradufu ndani ya wiki moja tangu mlipuko mpya kuthibitishwa, kwa mujibu wa Shirika la Afya la Afrika (Africa CDC) Septemba 11, 2025
Kwa mujibu wa taarifa, visa vinavyoshukiwa vimepanda kutoka 28 hadi 68 na vimesambaa kutoka wilaya mbili hadi nne, huku vifo vilivyothibitishwa vikifikia 16.
Kasai ni eneo la mbali lenye miundombinu duni ya barabara, liko umbali wa zaidi ya kilomita 1,000 kutoka mji mkuu Kinshasa. Aidha, mapigano mashariki mwa Congo yanaweza kufanya iwe vigumu zaidi kudhibiti ugonjwa huo unaosambaa kwa haraka kutokana na ukaribu na wingi wa vijiji, amesema Dkt. Ngashi Ngongo wa Africa CDC
Soma pia DR Congo yathibitisha Mlipuko Mpya wa Ebola Kusini mwa Mji wa Kasai, idadi ya Vifo ni 15 hadi sasa
========
The number of suspected Ebola cases in Congo's southern Kasai province has more than doubled in a week since a new outbreak was confirmed there, Africa's top public health agency said Thursday
The number of suspected cases has increased from 28 to 68 in recent days, the Africa Centers for Disease Control and Prevention announced at an online briefing. It has also spread from two to four districts, while the death toll currently stands at 16. Residents expressed concerns on Thursday over the outbreak, the first in Congo in three years and the province's first in more than a decade
The Kasai province is a remote part of the Congo with poor road networks and is more than 1,000 kilometers (621 miles) from the nation's capital, Kinshasa
In addition, fighting in eastern Congo could complicate efforts to contain the disease, which can spread rapidly due to the proximity and density of villages and provinces, Dr. Ngashi Ngongo, a principal advisor with Africa CDC, said at the briefing
Source: Arican news