MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Bro Evelyn Salt wa kunipa dislike kweli πYou really want to ride a storm.
Be careful, you are surfing in a dangerous water.
Uhai wako muhimu, familia tunakuhitaji.
Bro kama we hauwezi basi usivunje moyo, kina Nyerere, Mandela nk nk nk. nao walikua na familia piaBro Evelyn Salt wa kunipa dislike kweli π
Nimelia Sana.
Siku maanisha asiende kuandamana.Bro kama we hauwezi basi usivunje moyo, kina Nyerere, Mandela nk nk nk. nao walikua na familia pia
Sawa broSiku maanisha asiende kuandamana.
Nilihofia alicho andika na hasa hapa jukwaani Sina uhakika anaweza kujilinda wasimjue.
Kama yupo bongolala land watam-Polepole kabla ya Ot29.
Nakazia.Huna akili
Anyway kumbe ushatolea ufafanuziYou really want to ride a storm.
Be careful, you are surfing in a dangerous water.
Uhai wako muhimu, familia tunakuhitaji.
Kweli Polisi hawatoshi, ila we jichanganye tu hiyo itakusaidia sana kujua idadi yaoUsikubali kusogeza au kurudisha maandamano nyuma.
Nchi nzima wakiandamana kwenye vituo vya kura uchaguzi hakuna.
Polisi hawatoshi na wakipiga mabomu wanatawanya wapiga kura wao, nakuwajeruhi
Tumefikaje hapa?Jichanganye hiyo siku ndo utajua kwanini nyoka hana miguu lakini anakimbia.
Tayana-wog wewe wakunipa dislike kweli?Anyway kumbe ushatolea ufafanuzi
Hahaha
naomba nikulombe bei tatu tuTayana-wog wewe wakunipa dislike kweli?
Nimeumia sana.
Hata wewe umenisaliti ndugu yangu wa damu kabisa?
HahaaaaaTayana-wog wewe wakunipa dislike kweli?
Nimeumia sana.
Hata wewe umenisaliti ndugu yangu wa damu kabisa?