Idadi ya viwanda vya magari Nchini Tanzania

Idadi ya viwanda vya magari Nchini Tanzania

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Idadi ya viwanda vya magari Nchini Tanzania.

Jumla ya viwanda 13, ambapo kati yake viwanda 2 vinaunganisha magari na viwanda 11 vinatengeneza matrela.

Ajira zilizotokana na uwepo wa viwanda 2 vya kuunganisha magari Nchini

Katika kiwanda cha GF Track kimetoa ajira 300 na kiwanda cha Saturn Corporation kimetoa ajira 250.

Viwanda hivyo kwa pamoja vina uwezo wa kuunganisha magari zaidi ya 1000 na matipa zaidi ya 250 kwa mwezi.

#SamiaAPP
#KaziIendelee

PIA SOMA
- Waziri Kijaji: Tanzania ina viwanda 13 vya kuunganisha Magari

IMG-20240826-WA0057.jpg
IMG-20240826-WA0059.jpg
 
Idadi ya viwanda vya magari Nchini Tanzania .

Jumla ya viwanda 13, ambapo kati yake viwanda 2 vinaunganisha magari na viwanda 11 vinatengeneza matrela.

Ajira zilizotokana na uwepo wa viwanda 2 vya kuunganisha magari Nchini

Katika kiwanda cha GF Track kimetoa ajira 300 na kiwanda cha Saturn Corporation kimetoa ajira 250.

Viwanda hivyo kwa pamoja vina uwezo wa kuunganisha magari zaidi ya 1000 na matipa zaidi ya 250 kwa mwezi.

#SamiaAPP
#KaziIendelee
Hiki kitu inahitaji aje Rais mwenye akili timamu kabisa akikaze maana kinalijaza ujinga mkubwa sana taifa
 
Ni viwanda au karakana za kuunganisha magari?
 
Miaka 39 iliyopita wakati Nyerere anaondoka madarakani aliacha kiwanda cha kuunganisha maroli ya Scania na matrekta ya Valmet kule kibaha. Halafu kulikuwa na kiwanda cha kutengeza mabodi ya mabasi na marali cha Quality Garage (ambachpo nadhani kilikuwa cha Ukoo wa Manji). Vile vile nadhani kulikuwa na kiwanda kingine cha kufunga magari ya aina ya TATA .

Baada ya hapo nchi ilisismamama kabisa kiviwanda ikawa ni ya kutegemea misaada, mikopo na kubinafsisha viwanda alivyoacha Nyerere. Nyerere alianzisha viwanda vya nguo vingi sana, lakini Mkapa akavibinafsisha kwa bei karibu na bure: Ninavyoweza kukumbuka ni pamoja Mutex, Mwatex, Tabotex, Polytex, Canvass, Urafiki, Kiltex, Sungura textiles, .....
 
Ni sawa na bwana yule aliyesema tumejenga viwanda 6000 (hotuba tar 16.06.2020 bungeni).

Juzi kati hapa jukwaani niliona mada inasema 'Tanzania kuanza utengenezaji wa ndege'.
 
Tanzania hakuna viwanda Bali Kuna karakana za kuunganishwa magari tu
 
Kupata vichekesho hivi tubonyeze ngapi vile🤣🤣🤣Hebu taja jina moja tu la gari inayotengenezwa tz.
 
Back
Top Bottom