Idadi ya wabunge tarajiwa ACT-Wazalendo inawabeba dhidi ya CHADEMA Bungeni, kama Zitto akishinda Ubunge kuwa KUB

Umefanya utafiti wapi? Elezea toa data, shawishi watu
 
Biased and unscientific article. A dream and wishful thinking. Pole rafiki.
 
Ndiyo. Kwa hisani ya Tume ya Uchaguzi.
 
Hebu taja hayo majimbo ACT wanayachukua.
Naona unaota ndoto mchana.
 
Narudia tena KUB itaamuliwa na idadi ya viti maalum. CHADEMA walimzidi CUF wabunge watatu tu majimboni ila viti maalum walibeba 35+ na hapo ndipo CUF ikazidiwa.

So kma Hku bara CHADEMA wakibeba minimum 20% ya kura za wabunge ina maana viti maluum 15+ ambapo tayari watamfunika ACT mbali mnoo.

Siasa ni hesabu tu
 
kwahiyo chadema itakuwa chama cha viti maalum?
 
Haya Zitto atakuwa KUB, hongera sana.

Lakini mwisho wa siku, so what?
 
kwahiyo chadema itakuwa chama cha viti maalum?
Viti maalum vinatokana na kura za jumla za wabunge. Ssa sugu na mdee tu wakusanye kura laki 2 alafu unataka walingane idadi ya viti na wabunge wa ACT pemba ambao wakichanga kura za majimbo yote 18 hazifiki laki 3?

Ni hivi KUB huamuliwa na viti maalum miaka yote. So bisha utavyoweza ila ni ukweli mchungu ambao hata ACT wanaufahamu
 
Marekebisho kidogo mkuu pale uliposema chadema hakiwezi kupata wabunge kumi(10) ,hapo ulipaswa kusema chadema mwaka huu haina uwezekano wa kupata japo wabunge watatu(03)
 
kwani ACT-Wazalendo hawataambulia kitu?
 
KUB atakuwa kassim majaliwa au Ndugai maana nchi inachukuliwa na chadema
 
kwani ACT-Wazalendo hawataambulia kitu?
Watakusanya asilimia ya kura za ubunge kuliko CHADEMA? Hvi wana uwezo wa kufikisha hata kura laki 5 za ubunge nchi nzima ukizingatia ''hawana'' mgombea Urais?

CHADEMA nshakwambia hta wakikosa viti vyote hizo kura watakazookoteza kila jimbo zitazidi kura za wabunge wote wa ACT pemba so bado viti maalum vitawabeba.
Tena sheria yetu inataka walau 5% ya kura zote Je majimbo ya Pemba yanatosha kuleta kura za wabunge?
 
Umeongea vyema mkuu na utafiti wako ni makini lakini hawa machadema watapinga had Octoba 28 ndio yataamini unachosema. Yanaamini yule mpayukaji ataenda Chamwino, kumbe hata Kizota hafiki
 
unapo toa maoni yako kumbuka baada ya mwezi October kati ya December au January kuna uchaguzi mwingine wa wabunge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…