Idadi ya Waislamu duniani yafikia Bilioni mbili mwaka 2023

Idadi ya Waislamu duniani yafikia Bilioni mbili mwaka 2023

Naona Mnyaazi anapata wafuasi hongereni mdugu zetu waislamu
 
Si unaona chuki hizo mbona nyie mnapo ambiwa mtapewa asari na maziwa bila kuepo na ngombe kule na nyuki mbona ushangai.....jinga kabisa
Nimeuliza tu ili unijibu.


Watu gani hao watapewa asali na maziwa?
 
HONGERENI SANA LAKINI ANAYESEMA ATAWAZAA HAPA DUNIANI NA KUWAPOTEZA WOTE NI NANI?

SHETANI AMEFANYA kazi KUBWA sana.

Quran 15:39.
Akasema :mola wangu mlezi! Ilivyokuwa imenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa Duniani na nitawapoteza wote.


HUYU ANAYESEMA ATATUZAENI WAISLAMU NA KUTUPOTEZA WOTE NI NANI????

JE SHETANI ATAWAPOTEZA WAISLAMU WOTE???

MSISITIZE MKUBWA NI NENO " WOTE"
"Akasema: mola wangu! kwa kule kunipoteza, basi nahakikisha nitawapendezeshea njia mbaya hapa duniani na nitawapoteza wote."

"Isipokuwa waja wako wenye kufanya ikhlaasw."


15:39-40

Mbona aya iko wazi inawaenea wanadamu wote, au shetani aliweka ahadi ya kuwapoteza waislamu au wanadamu wote? kiukweli huwa unanishangaza sana.
 
NI JAMBO JEMA NCHI ZENYE WAISLAM WENGI ZINAJIKOMBOA KIUCHUMI EXCEPT FOR AFRICAN NATIONS KAMA SOMALIA, SUDANI,CHAD, MALI NIGER ETC, NA BINADAMU KWA HULKA YAKE AKIWA NA MAISHA BORA DINI INAKUA KITU CHA ZIADA KWAKE YAANI DESTURI TU.
 
MTUME WA MCHOGO ALIPITA NA KITOTO CHA MIAKA SITA. 6.

MTUME MOHAMED ALIOA MTOTO WA MIAKA 6.

ANAFAA KUWA MTUME WA MUNGU??
Au MTUME WA SHETANI??????
 
Sema vyovyote ila usimsingizie Mungu,Mungu hawezi kuwa na dini kama ya Islamic.Maana sifa za Mungu hazimo humo kabisa.Mf rahisi ni huu wa ubaguzi waislam especially Arabs Wana dini ila wanaongoza kwa chuki na ubaguzi hata ndugu zetu wanaofanya kazi za ndani huko ni mashahidi.Wazungu au Wakristo hawawabagui waislam kwa kiwango hicho kwa kweli.Kila nikitafakari hata waislam ninaokutana nao ndo hao hao.Kwa hayo tu mm naona uislam hauna uhusiano na Mungu.Ni mawazo yangu tu .Japo pia hata mwanzo wake na namna ulivyoemezwa vinaonesha kabisa hakuna Mungu hapo.
Katika Quran tukufu sura ya 5:3 Allah kuchagua uislamu kama dini sahihi na anaapa kuilinda.".........leo ni mekamilisha dini yenu na kutimizeni neema yangu na ni meependeleeni Uislamu kua Dini yenu..........." Quran tukufu sio maneno yetu ndo Mungu alio tuchagulia hiyo dini.
 
15:39 quran

(Iblis) said: "O my Lord! because Thou hast put me in the wrong, I will make (wrong) fair-seeming to them on the earth, and I will put them all in the wrong,-


Inabidi uwaze na kuwazua ukiachilia mbali ahadi hio ya iblis, lakini bado hajafinikiwa, kwani idadi ya waislam inazidi kupaa

Think
Huo mjadala wa ibliys ni kuwapoteza wanadamu wote na sio waislamu aya iliyofuatia mbona imebainisha.
 
Qur an 17:81 inaonesha kuwa muhammad alikuwa analiwa na allah 😂😂😂 kwahiyo waislamu mnamfuata shoga mwenzenu.

Aya hiyo inasema "Mola wangu uniingize mwingizo mwema"

Sasa huo mwingizo aliyotaka kuingizwa ni mwingizo gani😂😂😂
Subhaanallah, ngoja nijiweke mbali na hapa.
 
Wakatoliki pekee ni wengi kuliko waislam. Wakatoliki pekee ni zaidi ya bilioni 2 ulimwenguni
Wa Catholic hawajafika 2B mzee wakotholic wapo kwenye 1.3B+na ushee na wakristo wote kwa ujumla madhehebu yote duniani wapo 2.2B+
Uislam unakua kwa kasi wa Catholic peke yake hawafikii idadi ya waislam jumlisha madhehebu yote ya wakristo ndo wanawazidi kidogo waislam
 
Qur an 17:81 inaonesha kuwa muhammad alikuwa analiwa na allah 😂😂😂 kwahiyo waislamu mnamfuata shoga mwenzenu.

Aya hiyo inasema "Mola wangu uniingize mwingizo mwema"

Sasa huo mwingizo aliyotaka kuingizwa ni mwingizo gani😂😂😂


Hawa TUNAWAAMBIA Hii ni DINI ya Shetani hawaelewi
 
Wa Catholic hawajafika 2B mzee wakotholic wapo kwenye 1.3B+na ushee na wakristo wote kwa ujumla madhehebu yote duniani wapo 2.2B+
Uislam unakua kwa kasi wa Catholic peke yake hawafikii idadi ya waislam jumlisha madhehebu yote ya wakristo ndo wanawazidi kidogo waislam
😍😍
 
Back
Top Bottom