Idadi ya Waislamu duniani yafikia Bilioni mbili mwaka 2023

Naona Mnyaazi anapata wafuasi hongereni mdugu zetu waislamu
 
Si unaona chuki hizo mbona nyie mnapo ambiwa mtapewa asari na maziwa bila kuepo na ngombe kule na nyuki mbona ushangai.....jinga kabisa
Nimeuliza tu ili unijibu.


Watu gani hao watapewa asali na maziwa?
 
"Akasema: mola wangu! kwa kule kunipoteza, basi nahakikisha nitawapendezeshea njia mbaya hapa duniani na nitawapoteza wote."

"Isipokuwa waja wako wenye kufanya ikhlaasw."


15:39-40

Mbona aya iko wazi inawaenea wanadamu wote, au shetani aliweka ahadi ya kuwapoteza waislamu au wanadamu wote? kiukweli huwa unanishangaza sana.
 
NI JAMBO JEMA NCHI ZENYE WAISLAM WENGI ZINAJIKOMBOA KIUCHUMI EXCEPT FOR AFRICAN NATIONS KAMA SOMALIA, SUDANI,CHAD, MALI NIGER ETC, NA BINADAMU KWA HULKA YAKE AKIWA NA MAISHA BORA DINI INAKUA KITU CHA ZIADA KWAKE YAANI DESTURI TU.
 
MTUME WA MCHOGO ALIPITA NA KITOTO CHA MIAKA SITA. 6.

MTUME MOHAMED ALIOA MTOTO WA MIAKA 6.

ANAFAA KUWA MTUME WA MUNGU??
Au MTUME WA SHETANI??????
 
Katika Quran tukufu sura ya 5:3 Allah kuchagua uislamu kama dini sahihi na anaapa kuilinda.".........leo ni mekamilisha dini yenu na kutimizeni neema yangu na ni meependeleeni Uislamu kua Dini yenu..........." Quran tukufu sio maneno yetu ndo Mungu alio tuchagulia hiyo dini.
 
Huo mjadala wa ibliys ni kuwapoteza wanadamu wote na sio waislamu aya iliyofuatia mbona imebainisha.
 
Subhaanallah, ngoja nijiweke mbali na hapa.
 
Wakatoliki pekee ni wengi kuliko waislam. Wakatoliki pekee ni zaidi ya bilioni 2 ulimwenguni
Wa Catholic hawajafika 2B mzee wakotholic wapo kwenye 1.3B+na ushee na wakristo wote kwa ujumla madhehebu yote duniani wapo 2.2B+
Uislam unakua kwa kasi wa Catholic peke yake hawafikii idadi ya waislam jumlisha madhehebu yote ya wakristo ndo wanawazidi kidogo waislam
 


Hawa TUNAWAAMBIA Hii ni DINI ya Shetani hawaelewi
 
😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…