DuuhEwe Kenya utatuburuza mpaka lini?
Tumerogwa bossPiga mara population upate percentage ndio utajua kwann sie n ohehae
Mawinga milion 9 kariakoo pekee3maHaapo bongo Mawinga wakowi Hapoangapi?
😆😆😆😆Mawinga milion 9 kariakoo pekee
Jitafakali kwa kina, kama unaamini propaganda kiasi hicho?Hizo takwimu nizakuwapumbaza watu ionekane hatulipi kodi kuna sehemu hao TRA hawajagusa hapa Tz jaribuni kutafakari hayo ma trioni wanayokusanya ni hiyo idadi tu ndo inalipa? Ifikie hatua mjitathimini mimi nahisi kenya wanatuzidi kujielewa basi. Maana hapa bongo mtu unabeba jambo kama unavyoambiwa hapa namlaumu nyerere
Halafu tumewazidi population na tumewazidi kwa mbali rasilimali ila tatizo letu ni kua na sisiemu same thinking yakusifia wakati wote nakusema tunapiga hatua haiwezi kutuondoa hapa tulipo inatupelekesha kama tupo enzi za ukabailaEwe Kenya utatuburuza mpaka lini?
Yawezekana hauko kwenye mfumo wa biashara wewe hivi unadhani unaweza kuwa naduka chukulia kariakoo au sisi wamikoani kwenye masiko makubwa usilipe kodi? Wanataka kodi za aina zipi? Hata walio ajiriwa unadhani hawalipi kodi?,je unajua idadi ya waajiriwa sector binafsi na serikalini idadi yao? Maisha yako yakila siku unalipa kodi je unataka tulipe kodi za vichwa?, jitafakari mwenyewe kwanzaJitafakali kwa kina, kama unaamini propaganda kiasi hicho?