Landcruiser
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,805
- 599
Mmmhhh...!!! Unawajua unawasikia HESLB?
mkuu upo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmhhh...!!! Unawajua unawasikia HESLB?
mkuu upo.
Kuna uwezekano mkubwa kwa wote mlioomba kwa tcu mkapata mkopo japo wa asilimia sufuri (0%) ikiwa na maana ya boom kwa vile idadi ya watakaopata,kwa mujibu wa heslb inawiana kwa karibu na idadi ya waliochaguliwa kuingia vyuoni,achiia mbali hao %20 ambao hawajaomba mkopo,na wale wanaolipiwa na baadhi ya wizara kama wizara ya afya kwa wale wa udaktari
Ntafurah sana..ila Kwenye 'SECRET BALLOUT' ha2takuwa wote
wameboresha kwa siku elfu 10 au bado 2naendeleza elf 7500
Budget,maji 600,msosi 1200 mpaka 1500,chai lazima milo miwili ni 2400 mpaka 3000,so jumla 3500,kwenye 7500 inabaki 4000,kwa !wiki 28000 salio,hapo wale wa kinywaji japo weekend. Mara moja kamua mzinga 6000,inabaki 22000,kwa mwezi 88000,kwa miezi miwili 176000,kwa semestre 352000,kwa mwaka 704000,ongeza field 620000 jumla 1324000,miaka miwili 2648000,kuna reseach mwaka wa mwisho but hakuna field,add ya mwaka ambayo ni 704000 jumla 3352000,na research 150000 jumla 3402000,huoni mta
mbona shemeji yetu hujamweka au yeye hahusiki?

Shemeji yupo kwebye fungu la stationery

200,000 yote yake?
Vp kuna vyuo vingine vina lipiwa na wizara?
200,000 yote yake?
Ana umuhimu wake so akichukua japo one fifth ya stationery c mbaya ndio maana nili exlude stationery kwenye huo mchanganuo
Yap,kama muhimbili,imtu wanapewaga na wizara ya afya japo c wote
vp chuo cha fedha,usafirishaji na mapato
Wizara husika nadhani wanatoaga kwa baadhi,ifm wapo wanaonufaika kutoka wizara ya fedha
Hahahahhahah....sasa msiwasanue....waacheni walete tupige pesa zao masanduku ya kura hayasemi uongo