idadi ya wanafunzi mwaka wa kwanza watakaopata mkopo


mi wanipe tu ata iyo zero%
 
wameboresha kwa siku elfu 10 au bado 2naendeleza elf 7500
  • Bado 7,500/- per day. Kwa mwanachuo asietaka makuu hiyo amount inaweza kumtoa kimtindo. {NB:Hii ni Kwa vyuo vilivyo nje ya miji mikubwa}
 
Kimbembe hostel,ifm bila laki nne na hamsini elfu hujapata hostel,nafuu ni udom,ud,sua na vyuo vingine vya government
 
Budget,maji 600,msosi 1200 mpaka 1500,chai lazima milo miwili ni 2400 mpaka 3000,so jumla 3500,kwenye 7500 inabaki 4000,kwa !wiki 28000 salio,hapo wale wa kinywaji japo weekend. Mara moja kamua mzinga 6000,inabaki 22000,kwa mwezi 88000,kwa miezi miwili 176000,kwa semestre 352000,kwa mwaka 704000,ongeza field 620000 jumla 1324000,miaka miwili 2648000,kuna reseach mwaka wa mwisho but hakuna field,add ya mwaka ambayo ni 704000 jumla 3352000,na research 150000 jumla 3402000,huoni mtaji huo,na je boom likiongezeka?
 
mbona shemeji yetu hujamweka au yeye hahusiki?
 
 
kuchkuch mbona hujaiweka utapiga kavu! iweke bhana
 
Vp kuna vyuo vingine vina lipiwa na wizara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…