Idadi ya wanajeshi wa Ukraine wanaotoroka vitani inaongezeka baada ya matamshi ya Ursula Von der Leyen

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Ursula Von der Leyen alisema katika hotuba yake ya video Jumatano asubuhi kwamba "zaidi ya maafisa 100,000 wa kijeshi wa Ukraine wameuawa"

========

LUGANSK, December 2
Ukrainian service members have been deserting their positions in the special military operation zone after a statement by European Commission President Ursula von der Leyen who earlier this week revealed the number of Ukrainian losses over the past nine months, Andrey Marochko, an officer with the Lugansk People’s Republic’s (LPR) People’s Militia, said on Friday, citing intelligence data.

According to him, the scandal over the losses sustained by Ukraine in the course of the special military operation that was provoked by von der Leyen’s remark affected very negatively the morale of Ukrainian troops. "There has been increasingly more saboteurs and people deserting their positions [in the special operation zone], as well as more wrangling with commanders and hazing. Incidents of taking drugs and alcohol have also increased. Besides, social tensions have grown sharply in Ukraine," Marochko said. The families of Ukrainian service people have been storming military commissariats in their cities, defying the risk of arrest.

Von der Leyen said in a video address on Wednesday morning that "more than 100,000 Ukrainian military officers have been killed." After a while, the comment was deleted from the readout of her address, and the video disappeared from Twitter, but was soon posted anew, with the extract in which she mentions Kiev’s military losses missing.
 
"Akili za kuambiwa ,changanya na za kwako",Huyu comedian hana akili, ameharibu Ukraine ,amesababisha maafa kwa wananchi wa Ukraine ,na vifo visivyokua vya lazima vya wanajeshi wa Ukraine kutegemea akili za wamarekani na Eu. Hii Vita ilikua unaweza kuzuilika kidiplomasia. Lakin kwa Sababu alikua kibaraka cha mabwana zake ndio hayo ametokea , kila kitu kimeharibika ,watu wekufa bila Sababu za msingi. Fanya vita pale ambapo hakuna njia tena ya kidiplomasia ya kumaliza mgogoro. Hata kama utashinda lazima utapoteza tu. Tulimshinda IDD Amin lakin gharama zake zilikua kubwa. Kuna mwamba fulani kila siku anaimba vita na jirani yake , IPO siku naye atamgeukia asipochukua hatua mapema za kidiplomasia maana naona akipata fursa za kutosha lakin akazichezea.
 
Ursula Von der Leyen alisema katika hotuba yake ya video Jumatano asubuhi kwamba "zaidi ya maafisa 100,000 wa kijeshi wa Ukraine wameuawa"

Zaidi:
LUGANSK, December 2.
Ukrainian service members have been deserting their positions in the special military operation zone after a statement by European Commission President Ursula von der Leyen who earlier this week revealed the number of Ukrainian losses over the past nine months, Andrey Marochko, an officer with the Lugansk People’s Republic’s (LPR) People’s Militia, said on Friday, citing intelligence data.

According to him, the scandal over the losses sustained by Ukraine in the course of the special military operation that was provoked by von der Leyen’s remark affected very negatively the morale of Ukrainian troops. "There has been increasingly more saboteurs and people deserting their positions [in the special operation zone], as well as more wrangling with commanders and hazing. Incidents of taking drugs and alcohol have also increased. Besides, social tensions have grown sharply in Ukraine," Marochko said. The families of Ukrainian service people have been storming military commissariats in their cities, defying the risk of arrest.

Von der Leyen said in a video address on Wednesday morning that "more than 100,000 Ukrainian military officers have been killed." After a while, the comment was deleted from the readout of her address, and the video disappeared from Twitter, but was soon posted anew, with the extract in which she mentions Kiev’s military losses missing.
CC: MK254 Mrengwa wa kulia Yoda TumainiEl britanicca Nyamizi et-al
 
Naona umeshikilia report ya Ursula tangu juzi,Ila Pentagon walishatoa report tangu November kwamba Urusi na Ukraine wote wamepoteza zaidi ya wanajeshi laki moja. Wewe unafikiri kwanini Putin amefanya mobilization?! Angekua kapoteza wanajeshi 6000 kama anavyosema angefanya hiyo anayoiita partial mobilization!?

Russia and Ukraine each have suffered over 100,000 casualties, the top U.S. general says.
WASHINGTON — Russia’s war in Ukraine has left more than 100,000 of Moscow’s troops dead or wounded, and Ukraine has probably suffered a similar number of casualties, the United States’ most senior general said this week.

“You’re looking at well over 100,000 Russian soldiers killed and wounded,” Gen. Mark Milley, the chairman of the Joint Chiefs of Staff, said in remarks at the Economic Club of New York on Wednesday. “Same thing probably on the Ukrainian side.”

General Milley said that Russia’s invasion had also killed about 40,000 Ukrainian civilians and displaced 15 million to 30 million.

That’s “a lot of human suffering,” he said.

Ukraine imeshashindwa!
Hawasogei mbele, sehemu ya ardhi yao imeshachukuliwa, mfumo wa nishati ya umeme umeharibiwa nchini, mfumo ya usambazaji maji umeharibiwa! Russia wanashambulia wanavyotaka..

Sasa Odesa nayo inashambuliwa! Kinachoonekana Russia anafanya anachotaka kwa wakati anaoutaka.
 
Nimeona Kale kazee Biden kanasema waongee..Hata kama wana hela vita ni ngumu na saiv baridi kali ya hatari imeanza huko....Mnaongea baada ya kuua watu kibao.Ukraine imeharibika sana ..nchi ile imepigwa balaa...
 
9720f514-50b1-46e7-bd2a-c7f3458097fa.jpg
 
Nimeona Kale kazee Biden kanasema waongee..Hata kama wana hela vita ni ngumu na saiv baridi kali ya hatari imeanza huko....Mnaongea baada ya kuua watu kibao.Ukraine imeharibika sana ..nchi ile imepigwa balaa...
Biden kasema anataka aongee na Putin baada ya kuondoa majeshi Ukraine,la sivyo hawatakua na cha kuongea. Putin hawezi kuondoa majeshi Ukraine,na Rais wa Ukraine kasema wataendelea kupigana mpk ardhi yote ya Ukraine irudi.

So tegemea minyukano kuendelea.
 
Ukraine imeshashindwa!
Hawasogei mbele, sehemu ya ardhi yao imeshachukuliwa, mfumo wa nishati ya umeme umeharibiwa nchini, mfumo ya usambazaji maji umeharibiwa! Russia wanashambulia wanavyotaka..

Sasa Odesa nayo inashambuliwa! Kinachoonekana Russia anafanya anachotaka kwa wakati anaoutaka.
Napenda kikao alicho omba Biden na Putin kifanyike mapema hili Vita ikwishe. Hakuna anayependa Vita.
 
Biden hajaomba kikao.

Alitaka mazungumzo iwapo Putin ataondoa majeshi Ukraine,Putin amegoma kuondoa majeshi. So Marekani itaendelea kupeleka silaha na Biden ameomba Congress iidhinishe $34 billion kwa ajili ya kuendelea kufund vita huko Ukraine.
 
Naona umeshikilia report ya Ursula tangu juzi,Ila Pentagon walishatoa report tangu November kwamba Urusi na Ukraine wote wamepoteza zaidi ya wanajeshi laki moja. Wewe unafikiri kwanini Putin amefanya mobilization?! Angekua kapoteza wanajeshi 6000 kama anavyosema angefanya hiyo anayoiita partial mobilization!?

Russia and Ukraine each have suffered over 100,000 casualties, the top U.S. general says.
WASHINGTON — Russia’s war in Ukraine has left more than 100,000 of Moscow’s troops dead or wounded, and Ukraine has probably suffered a similar number of casualties, the United States’ most senior general said this week.

“You’re looking at well over 100,000 Russian soldiers killed and wounded,” Gen. Mark Milley, the chairman of the Joint Chiefs of Staff, said in remarks at the Economic Club of New York on Wednesday. “Same thing probably on the Ukrainian side.”

General Milley said that Russia’s invasion had also killed about 40,000 Ukrainian civilians and displaced 15 million to 30 million.

That’s “a lot of human suffering,” he said.
Russia and Ukraine each have suffered over 100,000 casualties, the top U.S. general says.

MBONA UNASHUPAZA HIVYO, EU WAMESHATOA YA KWAO SUBIRI RUSSIA NAO WATOE TA KWAO...Wasiwasemee mzee!...

Unaporushia makombora unajuaje askari watakaokufa ????
 
Back
Top Bottom