Idadi ya wanajeshi wa Ukraine wanaotoroka vitani inaongezeka baada ya matamshi ya Ursula Von der Leyen

Idadi ya wanajeshi wa Ukraine wanaotoroka vitani inaongezeka baada ya matamshi ya Ursula Von der Leyen

MBONA UNASHUPAZA HIVYO, EU WAMESHATOA YA KWAO SUBIRI RUSSIA NAO WATOE TA KWAO...Wasiwasemee mzee!...

Unaporushia makombora unajuaje askari watakaokufa ????
Russia walisema 6000 wamekufa
Ukraine Jana wamesema 13,000 wamekufa

Kwahiyo chagua pa kulalia kama Russia, Ukraine,Pentagon au Bibi yako Ursula.
 
Ukraine imeshashindwa!
Hawasogei mbele, sehemu ya ardhi yao imeshachukuliwa, mfumo wa nishati ya umeme umeharibiwa nchini, mfumo ya usambazaji maji umeharibiwa! Russia wanashambulia wanavyotaka..

Sasa Odesa nayo inashambuliwa! Kinachoonekana Russia anafanya anachotaka kwa wakati anaoutaka.
Hata Zele anataka kufanya Mobilization..

Russia alifanya mobilization wakambeza,

Inshort Putin alitaka kuepuka Millitary fatigue ambayo kama NATO wangeanziasha vita ghafla tayar alishakuwa na 5% losses. Hivyo kutokana na kubalance hoyo loss na pia uhitaj wa wao kuwa vitani kwa zaid ya mwaka akaamua kuwahi kuongeza idadi ya askari ili kuoata namba itakayotumika vita ya ukraine kwa miaka hata mitatu bila kuathiri initial Millitary count.

Tulibeza sana lakin leo Mobilized ndo wanahold poaitions.

wamefyeka 100k kwa waukraine na yeye namba yake imeongezeka.

sijui why tulimbeza
 
"Akili za kuambiwa ,changanya na za kwako",Huyu comedian hana akili, ameharibu Ukraine ,amesababisha maafa kwa wananchi wa Ukraine ,na vifo visivyokua vya lazima vya wanajeshi wa Ukraine kutegemea akili za wamarekani na Eu. Hii Vita ilikua unaweza kuzuilika kidiplomasia. Lakin kwa Sababu alikua kibaraka cha mabwana zake ndio hayo ametokea , kila kitu kimeharibika ,watu wekufa bila Sababu za msingi. Fanya vita pale ambapo hakuna njia tena ya kidiplomasia ya kumaliza mgogoro. Hata kama utashinda lazima utapoteza tu. Tulimshinda IDD Amin lakin gharama zake zilikua kubwa. Kuna mwamba fulani kila siku anaimba vita na jirani yake , IPO siku naye atamgeukia asipochukua hatua mapema za kidiplomasia maana naona akipata fursa za kutosha lakin akazichezea.

Vita ni kama kesi mahakamani, ushitaki au ushitakiwe usumbufu na hasara ni ile ile.
 
Hata Zele anataka kufanya Mobilization..

Russia alifanya mobilization wakambeza,

Inshort Putin alitaka kuepuka Millitary fatigue ambayo kama NATO wangeanziasha vita ghafla tayar alishakuwa na 5% losses. Hivyo kutokana na kubalance hoyo loss na pia uhitaj wa wao kuwa vitani kwa zaid ya mwaka akaamua kuwahi kuongeza idadi ya askari ili kuoata namba itakayotumika vita ya ukraine kwa miaka hata mitatu bila kuathiri initial Millitary count.

Tulibeza sana lakin leo Mobilized ndo wanahold poaitions.

wamefyeka 100k kwa waukraine na yeye namba yake imeongezeka.

sijui why tulimbeza
Ni mambo mawili tu!

Akili na elimu. Tuna akili ndogo ya kufahamu ya kinachoendela na tuna elimu ya kuchakatua na kujua muktadha utakuwa ni nini!
 
Always mnaona mlichopangiwa kuona,kusikia mlichopangiwa kusikia.

Haijarishi ni nchi gani, mifumo dhabiti inayoendesha nchi,wala haijulikani kwa wananchi! Mabaraza ya mawaziri,bunge politically tu.

Ndimi "Katsa"
 
Ni kawaida, katika vita yoyote; wapo watakaokufa na watakaopona; hakuna jipya hapo.
 
Vilianzia Crimea vitaishia Crimea, kwa sasa Urusi ameishiwa wanajeshi mpaka anataka kufanya mobilization nyingine kufuata wanywa gongo mitaani.
Hii ni ahadi yako pia? Au ni ilele ya ZELEnSKY? kama ni yako okey, lets see how good you are ....,,[emoji16][emoji16] , ....

Lakini katika vita muache kuuwa watoto ....muache kutesa watu wakae bila umeme bila maji

Piganeni ninyi kwa ninyi wanajeshi kwa waanajeshi
 
Unaongea kuhusu nini, mtakua mumechanganyikiwa hadi bichwa, Mrusi ndiye hupiga bembea za watoto, amekimbia frontline.
 
Ursula Von der Leyen alisema katika hotuba yake ya video Jumatano asubuhi kwamba "zaidi ya maafisa 100,000 wa kijeshi wa Ukraine wameuawa"

Zaidi:
LUGANSK, December 2.
Ukrainian service members have been deserting their positions in the special military operation zone after a statement by European Commission President Ursula von der Leyen who earlier this week revealed the number of Ukrainian losses over the past nine months, Andrey Marochko, an officer with the Lugansk People’s Republic’s (LPR) People’s Militia, said on Friday, citing intelligence data.

According to him, the scandal over the losses sustained by Ukraine in the course of the special military operation that was provoked by von der Leyen’s remark affected very negatively the morale of Ukrainian troops. "There has been increasingly more saboteurs and people deserting their positions [in the special operation zone], as well as more wrangling with commanders and hazing. Incidents of taking drugs and alcohol have also increased. Besides, social tensions have grown sharply in Ukraine," Marochko said. The families of Ukrainian service people have been storming military commissariats in their cities, defying the risk of arrest.

Von der Leyen said in a video address on Wednesday morning that "more than 100,000 Ukrainian military officers have been killed." After a while, the comment was deleted from the readout of her address, and the video disappeared from Twitter, but was soon posted anew, with the extract in which she mentions Kiev’s military losses missing.
Ukraine kwa moto[emoji3]
 
Vilianzia Crimea vitaishia Crimea, kwa sasa Urusi ameishiwa wanajeshi mpaka anataka kufanya mobilization nyingine kufuata wanywa gongo mitaani.
Acha propaganda ww msikilize boss wenu na hata hiyo idadi namiini ni ndogo unambiwa kwa siku zaidi ya wanajesh1000+ na mamluki wa Ukraine wana kufa.hii vita urusi kashinda ni swala la muda najua ipo siku mbichi na mbivu.
 
Acha propaganda ww msikilize boss wenu na hata hiyo idadi namiini ni ndogo unambiwa kwa siku zaidi ya wanajesh1000+ na mamluki wa Ukraine wana kufa.hii vita urusi kashinda ni swala la muda najua ipo siku mbichi na mbivu.View attachment 2436605

kwamba huyu sasa ndiye tumaini lenu, hehehe mko desperate sana, mumesahau Urusi ameishiwa mpaka anakusanaya wanywa gongo mitaani, lakini dah! Urusi hajawahi kuhangaishwa kiasi hiki.
 
Unaongea kuhusu nini, mtakua mumechanganyikiwa hadi bichwa, Mrusi ndiye hupiga bembea za watoto, amekimbia frontline.
Na upande wa Ukraine pia Donbass kule mna shell watoto .. wanakufa....
 
Back
Top Bottom