Idadi ya wanaume inazidi kupita ya wanawake katika saloon zetu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Ukienda saloon foleni ya wanaume wanaosuka corn row, extension, na weaving ni kubwa kuliko wanawake. Wengine hushinda hapo wakifanyiwa manicure na pedicure.

Wanaume hawa wamekua washauri wetu wazuri wa nywele za kutumia kwa style mbali mbali.

Tunashukuru mchango wa makaka hawa katika mzunguko wa pesa na kuzalisha ajira mitaani. Wasusi wa kiume pia wameongezeka sana. Hasa wale wanaotoka Jamhuri ya Congo lakini wanajitambukisha kuwa wanatoka Kigoma.

 
Unapomuona Juma lokole na Aristote usifananishe na wanaume wa shoka
 
Sasa kwa tabia hizo unawaitaje ni wanaume? Wanaume hatuji huko utatukuta kazini au bar. Kidooogo na nyumbani huku wake zetu wakitukumbusha kuchana nyele na kupaka deodoranti kabla ya kutoka
Kawoli jamani hata kuchana nywele unakumbushwa?
 
Hakuna watu wasumbufu km hao wakongomani,ukifungua saluni ya kike inabidi ujipange kisaikolojia muda wowote unaweza kufunga saluni.Hawatulii sehemu moja

Akitokea mtu kamtajia dau zaidi anavunja mkataba fasta anahamia saluni nyingine na anakuachia saluni yako bila kuangalia umemtoa wapi Hadi kumfikisha hapo alipo

Niliwahi kumwokota mmoja jalalani nikamfungulia saluni Ila ndani ya miezi miwili nikafunga,alinikimbia anahamia Kwa jirani,nikaona udwanzi nikauza kila kitu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu yani ulimtegemea mfanyakazi wako kwa 100%?? Pole sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna jambo bibi unataka kulizungumzia, ila umepiga counter tack ya kulileta, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya bhana
 
Mi mmoja alinifanyia hivyo...nilimuhamisha nchi...na sidhani kama atarudi TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…