Idadi ya waokota makopo Dar imeongezeka kwa kasi

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Kila kona nitakatopita naona hawa watu waokota machupa ya maji hii idadi imeongezeka ghafla hasa kipindi hiki cha uchaguzi .

Wazee wa kimbelembele walopokaji huenda wakawa watu wa system aka uslama mjilinde upayukaji wa hovyohovyo. Asanteni nimewatonya
 
Sio kwamba kiangazi hiki watu wanakunywa sana maji...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…