waokota makopo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Griss

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watoto wote wa mtaani vichaa na waokota Makopo wote wameuawa?

    Nimepita kariakoo Jana usiku wale watoto wote na waokota makopo waliokuwa wakilala vinarazani hawapo masikini Pia ilala, Ubungo, stand ya Magufuli hakuna mtoto wa mtaani hata mmoja Samia kaua watoto wote wa mtaani Pia mliopo mwanza fatilieni Makoroboi, Arusha pia stand kuu na Mbeya Hawa watu...
  2. Think2

    JamiiForums Tanzania Idadi ya waokota makopo Dar imeongezeka kwa kasi

    Kila kona nitakatopita naona hawa watu waokota machupa ya maji hii idadi imeongezeka ghafla hasa kipindi hiki cha uchaguzi . Wazee wa kimbelembele walopokaji huenda wakawa watu wa system aka uslama mjilinde upayukaji wa hovyohovyo. Asanteni nimewatonya
  3. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi ili uwe muokota makopo lazima kichwani ziwe zimepungua?

    Hivi hii kazi ukitaka kuifanya lazima uwe chizi kidogo maana naonaga waokota makopo kwa asilimia 100% ni kama wamevurugwa akili zao kama hamnazo je ndio mfumo wenyewe wa hizi mishe au ndio kutingwa na maisha magumu nakaribisha maoni yenu waokota makopo na msio waokota makopo ila hii sio kazi...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Plastic Waste Pickers: The Shunned and Scorned Environmental Warriors of Tanzania

    By Mweha Msemo | June 23, 2022 Dar es Salaam. Plastic waste is a common sight on many streets of Dar es Salaam. Recklessly disposed of from homes and stores or thrown out of the windows of daladalas and private vehicles – it adds to the unsightliness of this already heavily polluted economic...
Back
Top Bottom