GE2025 Watoto wote wa mtaani vichaa na waokota Makopo wote wameuawa?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Griss

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
336
Reaction score
1,960
Nimepita kariakoo Jana usiku wale watoto wote na waokota makopo waliokuwa wakilala vinarazani hawapo masikini

Pia ilala, Ubungo, stand ya Magufuli hakuna mtoto wa mtaani hata mmoja

Samia kaua watoto wote wa mtaani

Pia mliopo mwanza fatilieni Makoroboi, Arusha pia stand kuu na Mbeya Hawa watu yawezekana wameuwawa hawana pa kwenda masikini

Samia katuua kaua watu hata ambao hawana hatia

Hawa wangepata vipi tangazo la kutotoka nje saa 12 wakati maisha yao hawana simu Wala chochote

Samia hizi damu hizi tutaonawisho wake

Mpaka waosha vioo na waokota makopo jaman

Moyo wangu unauma Sana!
 
watoto wote na waokota makopo waliokuwa wakilala vinarazani hawapo masikini

Hawa ndiyo mashahidi wa kilichotokea mitaani, pia madada poa duniani kote, teksi bubu na rasmi ambao husimama barabarani ni vyanzo vizuri vya kukusanya matukio sasa hatujui kama wao watakuwa salama
 
Mmewaponza watoto wa watu masikini ...mlipomaliza kustorm Mali za watu na serikali nyie mlikuwa na pa kukimbilia vyumbani mwenu....mkawaacha wanapambana na risasi nje
 
Uwezekano mkubwa wameuwawa lakini pia inawezekana wamerudi makwao...sio wote walikuwa homeless wengine walikuwa wanajifanyisha
 
Nimepita kariakoo Jana usiku wale watoto wote na waokota makopo waliokuwa wakilala vinarazani hawapo masikini

Pia ilala, Ubungo, stand ya Magufuli hakuna mtoto wa mtaani hata mmoja

Samia kaua watoto wote wa mtaani

Pia mliopo mwanza fatilieni Makoroboi, Arusha pia stand kuu na Mbeya Hawa watu yawezekana wameuwawa hawana pa kwenda masikini

Samia katuua kaua watu hata ambao hawana hatia

Hawa wangepata vipi tangazo la kutotoka nje saa 12 wakati maisha yao hawana simu Wala chochote

Samia hizi damu hizi tutaonawisho wake

Mpaka waosha vioo na waokota makopo jaman

Moyo wangu unauma Sana!
alaumiwe mange na maria sarungi waliohamasisha tena wapelekwe mahakamni kwa mauaji ya kimbari kwa sababu polisi walikuwa wanalinda raia wema na mali zao kwa kupiga risasi walikuwa hawana namna
 
Uwezekano mkubwa wameuwawa lakini pia inawezekana wamerudi makwao...sio wote walikuwa homeless wengine walikuwa wanajifanyisha
Mkuu mtu ajifanyishe kulala barazani na barabarani?
 
Wanaogopa tena kulala kwenye vibaraza na kuonekana mtaani kwasababu yenu nyie wahuni mliyoanzisha maandamano ya kihuni ya kuvunja na kuiba mali za watu, maana wanaweza kukamatwa wakihofiwa wanataka kufanya uhalifu.
 
Qmmmmq we **** ulikuwa unatamba kuwa hakuna wa kuandamana Kiko wapi 🤣
 
Nimepita kariakoo Jana usiku wale watoto wote na waokota makopo waliokuwa wakilala vinarazani hawapo masikini

Pia ilala, Ubungo, stand ya Magufuli hakuna mtoto wa mtaani hata mmoja

Samia kaua watoto wote wa mtaani

Pia mliopo mwanza fatilieni Makoroboi, Arusha pia stand kuu na Mbeya Hawa watu yawezekana wameuwawa hawana pa kwenda masikini

Samia katuua kaua watu hata ambao hawana hatia

Hawa wangepata vipi tangazo la kutotoka nje saa 12 wakati maisha yao hawana simu Wala chochote

Samia hizi damu hizi tutaonawisho wake

Mpaka waosha vioo na waokota makopo jaman

Moyo wangu unauma Sana!
Typical Genocide
 
Mkuu mtu ajifanyishe kulala barazani na barabarani?
Wapo wachache waliokataa kwao kwa sababu mbali mbali. Yupo mmoja hapa ni jirani yangu Arusha kuna muda alalala darajani pale karibu na maktaba ya taifa yaani anakuwa chokoraa kabisaaa na kuna siku anakuja nyumbani. Ni mtoto wa jirani yangu kabisa namfahamu.
Lakini sikatai kwamba kuna uwezekana pia risasi zimewamaliza.
 
07 November 2025
VIJANA NA WASICHANA WAFIKISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAAZI MKUU KISUTU DAR ES SALAAM, TANZANIA

View: https://m.youtube.com/watch?v=p3lr6P8UXdQ
Angalia video hii uweze kuwatambua waliopotea kati ya tarehe 29 October 2025 hadi November 4 2025

Video hii imemulika sura za makumi yao walioletwa mahakamani na mabasi ya Magereza leo

Je unawatambua ?
 
Hao hawaingii kwenye mkumbo kiboya wana "elimu mtaa" kinoma
Wanajua tabia za binadamu hasa ukatili wao ndio maana ukijichanganya wanakupa "kubwa"
 
Back
Top Bottom