Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,497
- 17,560
Kukamatwa❌ kuuwawa✅Wanaogopa tena kulala kwenye vibaraza na kuonekana mtaani kwasababu yenu nyie wahuni mliyoanzisha maandamano ya kihuni ya kuvunja na kuiba mali za watu, maana wanaweza kukamatwa wakihofiwa wanataka kufanya uhalifu.