Elections 2010 Idadi ya Wapiga Kura ni Ipi ?

Elections 2010 Idadi ya Wapiga Kura ni Ipi ?

AK-47

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2009
Posts
1,373
Reaction score
202

Ndugu zangu nimekuwa nikihisi kuwepo kwa ubabaishaji mkubwa katika Tume ya Uchaguzi, awali walituambia wapiga kura wamefikia milioni 21, baadae wakasema wamefanya marekebisho sasa wapiga kura ni milioni 19 na ushee. Kweli juzi nilipoingia kwenye tovuti yao nikaona idadi hiyo ingawa yana kichwa cha uboreshaji wa awamu ya kwanza kwa mwaka 2007-2008, lakini cha kushangaza leo nimefungua tovuti yao nakutana na idadi hii 18,014,667.

Swali je inawezekana tume haijui idadi kamili ya wapiga kura ?
Na Kama ndio basi kunahaja gani ya kufanya uchaguzi bila ya kujua idadi ya wapiga kura.
 
Nchi iliyoharibika hata ata watendaji wake wanaharibika,kukosekana kwa umakini katika kufanya mambo ni cancer nyingine inayosumbua nchi yetu.CHAGUA SLAA
 
Hesabu za Kujumlisha na Kutoa imekuwa tatizo kiasi hicho sina imani na tume hii kabisa
 
Back
Top Bottom