Idadi ya Wasanii mateja yazidi kushika kasi...

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Ni baada ya Chid benz kukiri hadharani kuwa anatumia madawa hayo(cocain & heroen) na kukubali kuwa alishawahi kuvuta na LANGA na MANGWAIR,
anasema chanzo ni ulevi wa pombe kali na bange uliokithiri kiasi kwamba alikuwa anaona hazimpi stim ikabidi apige na dona!kakiri kuwa amewaingiza baadhi ktk uteja.
Alisema hayo yote ktk kipindi cha radio akiwa anahojiwa na fetty
Source:XXL CLOUDS FM,
 
daa inasikitisha sana.
 
Kwani huo unga huwa una madhara gani? Mi naona afadhali hao wanaokula unga kuliko wanaofanya ngono nzembe.
 
Mmmh hao ndo wakuwashika wawaelekeze wapi wananunua......
 
Cha ajabu katambulisha wimbo mpya ambao una mistari inayosifia huohuo unga
 
eti kioo cha jamii.......sio dawa tu na upunga pia wamo...
 
Wajifunze biblia tu wataacha,mimi najitolea kuwafundisha biblia bila malipo waata tu huo upuuzi
 
eti kioo cha jamii.......sio dawa tu na upunga pia wamo...

Tunaiga haya mambo ya masembe tunaishia kuchakaa tu, nashindwa kushangaa hiyo chain ya wasambazaji inamuwaje haikamatiki.
 
Kwani huo unga huwa una madhara gani? Mi naona afadhali hao wanaokula unga kuliko wanaofanya ngono nzembe.

Kumbe kweli kuna wengi hawana elimu ya madawa ya kulevya. Lakini kama wewe unaweza kutumia JF inamaana unaweza ku-search kwenye website mbali mbali kuhusu madhara ya madawa ya kulevya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…