Idadi ya wataalamu wa kilimo Tanzania

Idadi ya wataalamu wa kilimo Tanzania

Moto mingi

Member
Joined
Jun 13, 2023
Posts
7
Reaction score
6
Jamani Tanzania ina wataalamu wa kilimo wangapi na ni kwa mujibu wa bajeti ya mwaka gani
 
Unauliza swali Kama unakimbia hebu tulia Kisha uliza swali ueleweke?
 
Jamani Tanzania ina wataalamu wa kilimo wangapi na ni kwa mujibu wa bajeti ya mwaka gani
Kilimo ni sekta pana Sana kujibika kwa namna uliyouliza, ... inaanzia wataalamu wa kuzalisha mbolea, mbegu, dawa, kuhudumia mimea/wanyama.... kuchakata mavuno... kufikisha kwa mlaji.

Kwa hiyo chain Kuna wataalam wana overlap sekta, mhasibu akiwa shamba ni mtaalam wa kilimo, mchumi.... dalali n.k. ugumu wa swali linaanzia hapo! trekta haliendeshwi mwaka mzima Ila litakapowashwa dereva anastahili kuitwa mtaalam wa kilimo!
 
Wataalamu wa kuhudumia mimie
 
Wataalamu wa kuhudumia mimie
Agriculture generalists
Agronomist
Horticulturalists
Floriculturist
.
.
.
Sidhani kama Kuna sensa rasmi, Ila Tamisemi wanayo idadi ya waliowaajiri ukijumlisha na walio wizara ya kilimo utapata walioajiriwa rasmi serikalini.
Jumla utakayopata zidisha kwa kumi utapata walio sekta nyingine na waliojiajiri utakachopata increment kwa 10% hao ni output toka vyuoni Kila mwaka toa 2% hiyo ni rate ya kufa kwa mwaka kwa wabongo.... hapo utakuwa na formula ya kujua hata miaka kumi ijayo watakuwa wangapi.
 
Back
Top Bottom