Idadi ya Watalii Wanaoshuka "KIA" Yazidi Kuongezeka

Hlo snema likitumwa kwao linaongea Tz kuna ofa ya kutzama wendawazmu na mapori yao bure kabisa!
 
Toka last week
Gari zetu zote ziko booked
Niko bluestone hapa napata supu
 
Kama ambavyo walikuwa wanakimbia baridi hivi sasa wanakimbia joto, kiwango cha joto kimepanda sana kiasi cha kuhatarisha afya. Huku kwetu kuna joto lakini halijaweza kusababisha misitu kuwaka moto kama ilivyo huko hivi sasa, nchi zote chini ya Ikweta hivi sasa zinapokea watalii wengi wanaokimbia joto hivyo kusema ni filamu ya Royal Tour hakuna ushahidi.
 
Hao watalii wamekuja na shilingi au??
Inakuaje watalii wanaongezrka na dolla zinaadimika?
Hivi kila anaeshuka kilimanjaro ni mtalii??
Watanzania hawashuki na kupanda hapo?
 
Hao watalii wamekuja na shilingi au??
Inakuaje watalii wanaongezrka na dolla zinaadimika?
Hivi kila anaeshuka kilimanjaro ni mtalii??
Watanzania hawashuki na kupanda hapo?
Waambie ukweli Hawa machawa!
 
Automatically tu Arusha, Moshi na Manyara lazima zipokee watalii hata iweje, Mwenyezi Mungu aliiweka Serengeti, Ngorongoro, Mt Kilimanjaro nk kifupi it's the blessed land Kwa upendo wa Mungu mwenyewe.

Ni sawa nakusema eti sijui CCM wamesaidia blahblah Dhahabu inapatikana kwa wingi Geita, Mara, na lake zone wakati Mwenyezi Mungu Kwa upendo wake kaiweka pale.

CCM na Serikali yake ndio kwa kiasi kikubwa hutufanya kuwa masikini kwa kuzitumia vibaya hizi Baraka tulizopewa na Mwenyezi Mungu zitunufaishe kwa wao kudhulumu na kuzihujumu matokeo yake wanatuacha Watanzania wengi masikini na HOHEHAHE.

Mwenyezi Mungu katuma Mali na akatupa maarifa lakini hatuyatumii maarifa yetu kuongeza thamani ya tulichonacho
 
Wehu huu sasa
 
Mmoja wa watalii hao, Christos Gianakopoloulos, alisema matarajio yake ni kuona wanyama wakuu watano ambao aliambiwa Tanzania ni rahisi kuwaona kuliko nchi nyingine yeyote.
Wanakuja kuona wanyama au wanakuja kuwashangaa watu tusiojua thamani ya rasilimali zetu na kuzigawa hovyo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…