Idadi ya Watangazaji Clouds PB, sawa na Wafanyakazi wote kwa Redio Ingine

Sio maudhui bali ni idadi ya Watangazaji.
Karibu kipindi cha Super Break fast cha EA Radio, karibu Joto kali la Asubuhi la EFM, karibu katika mchapo wa Zungu mjomba Beberu cha Wasafi yaani karibu tu hata Times FM, na kwingine.
 
Mimi kila niki tune hiyo redio nakutanaga either na matangazo yaliyorekodiwa ama mmoja wa watangazaji akiongea kwa kujikakamua akifafanua tangazo. Sijui ni kwa namna gani binadamu wa kawaida anaweza kusikiliza hayo mambo for 5 hours

Sent from my TECNO LB7 using JamiiForums mobile app
Basi ujue makampuni yanaona ndo sehemu sahihi ya kufanya marketing na kufikia walaji wa bidhaa au huduma zao. Hivyo, hii inamaanisha wako on the right track ndio maana wana matangazo mengi
 
Sijakataa ila mm nadhani ingekuwa afadhali kama wangecheza tu matangazo kwa muda maalumu kisha wachane nayo waendelee na content nyingine sio kila dakika waoni kusema tu "tupo na NMB wanakuambia sijui nn nn mara tupo na vodacom mambo kama hayo yanafanya baadhi ya wasikilizaji kwanza wakinai bidhaa au huduma zinazotangazwa kabla hawajatamani kuzitumia

Sent from my TECNO LB7 using JamiiForums mobile app
 
Sijakataa ila mm nadhani ingekuwa afadhali kama wangecheza tu matangazo kwa muda maalumu kisha wachane nayo waendelee na content nyingine sio kila dakika waoni kusema tu "tupo na NMB wanakuambia sijui nn nn mara tupo na vodacom mambo kama hayo yanafanya baadhi ya wasikilizaji kwanza wakinai bidhaa au huduma zinazotangazwa kabla hawajatamani kuzitumia

Sent from my TECNO LB7 using JamiiForums mobile app
Wenye matangazo hawawezi kukubali, maana ukipeleka tangazo unachagua muda na liruke mara ngap au wana package kabisa ina define hizo terms.
Hebu fikiri kama kuna muda maalum wa. Atangazo yani wanarusha matangazo hayo yote muda huo, si wasikilizaji watahama station halafu muda ukishapita warudi. Hivyo kusudi la kurusha matangazo halitafikiwa maana lengo ni kwamba wasikilizaji wayasikie.
 
Ichi kitu nilijiuliza jana mbona watangazaji wa PB Ni wengi
 
Hence there is no efficiency when looking at work done verse what has to be achieved based on the number hahaaaa

Mewahi enda sehemu nyingi za Tanzania bara, wapo wahudumu wengii kwa bar lakini wengine wapo kwa shughuli zao (wanajilipa kwa kuhudumia watejaa), kikubwa wamethaminiwa
Kwa hili nakuunga mkono, kuna Bar huku mtaani kwetu ina wahudumu wengi kuliko wateja, huwa najiuliza huyu jamaa anawalipa vipi hawa wahidumu? Kumbe wako kimkakati.
 
Mimi kila niki tune hiyo redio nakutanaga either na matangazo yaliyorekodiwa ama mmoja wa watangazaji akiongea kwa kujikakamua akifafanua tangazo. Sijui ni kwa namna gani binadamu wa kawaida anaweza kusikiliza hayo mambo for 5 hours

Sent from my TECNO LB7 using JamiiForums mobile app
Ngariba haogopi *kojo
 
Ulimwengu huu niwa biashara mfano, hapo awali ukipakuwa apps kulikuwa hakuna vijimatangazo vidogo vidogo vinavyojitokeza, tofauti na sasa ndani ya sekunde 15 unapokea vijimatangazo kama 5.
Sijakataa ila mm nadhani ingekuwa afadhali kama wangecheza tu matangazo kwa muda maalumu kisha wachane nayo waendelee na content nyingine sio kila dakika waoni kusema tu "tupo na NMB wanakuambia sijui nn nn mara tupo na vodacom mambo kama hayo yanafanya baadhi ya wasikilizaji kwanza wakinai bidhaa au huduma zinazotangazwa kabla hawajatamani kuzitumia

Sent from my TECNO LB7 using JamiiForums mobile app
 
Nikionaga mada kuhusu kusikiliza redio najionaga km sipo dunia hii vile, maana ni miaka sasa sisikilizi redio
 
Mi kuna vitu huwa vinantatiza saba hapo clouds.
1. Watangazaji wengi wanamuabudia boss wao "kusager" ba kumfanya mentor wao aidha kawapa kazi while hawakustahili au kutojiamini na uwezo wao

2. Clouds wanaamini wao ndo wataalamu wa fursa nchini Tanzania . Kwanini?

3. Watangazaji wa clods kujulikana kwa mambo mengine tena ya hovyo mbali na career zao za uandiahi wa habari.
 
Mimi kila niki tune hiyo redio nakutanaga either na matangazo yaliyorekodiwa ama mmoja wa watangazaji akiongea kwa kujikakamua akifafanua tangazo. Sijui ni kwa namna gani binadamu wa kawaida anaweza kusikiliza hayo mambo for 5 hours

Sent from my TECNO LB7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom