Idadi ya watu iendane na maboresho ya miundominu ya huduma
Maana majiji makubwa kama DSM tutegemee miundominu kuzidiwa
Kwasasa watu milioni 8+ foleni ndiyo kama hivyo, huduma ya Maji ya DAWASA haijawa ya kutosha
Sijui hiyo 2050 ambapo DSM inaweza kufikisha wakazi milioni 17+ hali itakuwaje 🙌