Idadi ya Watanzania wanaoenda Kenya yapungua kwa kasi....tatizo nini?

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
The latest Economic Survey 2018 by the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) shows that the number of Tanzanian visitors to Kenya declined by 21.8 per cent - from 33,000 in 2016 to 25,800 last year.

This is as the frosty relations between the two East African economies spilt over to the tourism sector. While departures by residents of African countries generally decreased, the decline was more pronounced in departing Tanzanian residents. Departures by residents of African countries dipped by 8.4 per cent to 285,000 last year compared to 311,100 in 2016.

While bed occupancy by African residents grew by 3.6 per cent to 4,091,100 last year, that of Tanzanians, South Africans and Ugandans dropped in number of hotel bed-nights occupancy.

The decline in both visitors and bed-night occupancy was, however, compensated by number of visitors from other parts of the world, particularly Germany and Europe. “Residents of Germany and UK jointly accounted for over half of all the departing residents of Europe,” read the Economic Survey 2018. “Bed occupancy by residents of Europe went up by 13.1 per cent in 2017,” read the Economic Survey 2018. “Among the European residents, bed occupancy by the residents of Switzerland recorded the highest increase of 23.9 per cent from 63,200 in 2016 to 78,300 in 2017, followed by residents of United Kingdom at 22.2 per cent from 211,600 in 2016 to 258,600 in 2017.” 25 per cent duty

Diplomatic tensions between the two countries has also seen fewer Kenyan goods enter Tanzanian market, with exports to Dar declining by 18 per cent to Sh28.5 billion last year from Sh34.8 billion in the previous year. This came after Tanzanian authorities demanded a 25 per cent duty on Kenyan products, particularly confectionary, juice, ice cream, and chewing gum. The Principal Secretary in the Ministry of East Africa Community Betty Maina said last month while most East African countries were industrialising and weaning themselves off Kenya’s manufactured products, there was foul play by countries such as Tanzania. ALSO READ: Shock for maize farmers as market flooded with imports “Non-tariff barriers in Tanzania have been very severe in the last two years,” said Ms Maina. She noted that since 2015, Tanzania has frustrated entry of Kenyan products into its borders with exports of confectionaries such as sweets and biscuits already stopped. Export of textile has also been stopped as well as edible oil, explained Ms Maina. The Kenya Association of Manufacturers said this could raise the cost of doing business and lead to job cuts.

Read more at: Diplomatic spat scared away Tanzanian visitors to Kenya in 2017
 
most of Tanzanian don't visit Kenya because their have nothing to do with kenya#
 
Hakuna sababu ya maana ya watanzania kutbelea kenya. Watanzania wengi wanaoenda kenya ni wasanii, na wengine wanaotaka kusafiri kwenda nchi zingine kupitia kenya. Wakenya ni wabaguzi sana hawawezi kukaa na waTZ.
 
exports to Dar declining by 18 per cent to Sh28.5 billion last year from Sh34.8 billion in the previous year.

Tanzania has frustrated entry of Kenyan products into its borders with exports of confectionaries such as sweets and biscuits already stopped.

Tanzania no longer need Kenyan goods because already manufactured right in the country
 
Hakuna sababu ya maana ya watanzania kutbelea kenya. Watanzania wengi wanaoenda kenya ni wasanii, na wengine wanaotaka kusafiri kwenda nchi zingine kupitia kenya. Wakenya ni wabaguzi sana hawawezi kukaa na waTZ.
Wakenya sio wabaguzi ila wana ile mind-your-own-business attitude haha.....kwa mbongo lazima uhisi ni rudeness.
 
Hakuna kitu kama hicho rafiki tusijidanganyane kabisa. Wao kwa wao tu wanabaguana. Angalia hata mfumo wa serikali yao ipo owned na elites.
Kwanini wakikutana wakikuyu na wakikuyu wanachonga michongo ya kuiba kwa pamoja?
 
Najiuliza mie Nitoke Hapa niende Kweli Kenya!
Kuna lipi!
Wanao kwenda kule watupe Siri nje ya box
Yaani ukiwa pale Nairobi hata mkoba wako shikilia vizuri , maana hutaelewa ni namna gani wakora wamekwapua hiyo pochi yako,
Nairobi isn't a safe place Zuwena,
 
Na itapungua hadi ibaki zero wabaki wale omba omba wenu, maana utawala wenu wa sasa unalea chuki baina yetu, kwa mara ya kwanza nimeskia Wakenya mtaani wakitaja chuki wanazoskia zinazotokea kwa Watanzania. Kawaida tuliokua tunajua chuki zenu ni sisi tu ambao tumewahi kuingia Tanzania, lakini leo hii mumeanza kutajwa vijiweni maana taarifa za hizo chuki zinafika huko, leo hii Mtanzania kujitambulisha ndani ya Wakenya anakua na kauwoga fulani, sio kama ilivyokua awali ambapo Wakenya hawakua hata na muda kuwaza Utanzania wako.

Yaani mpo pagumu kweli, nyumbani kwenu huko mnalia vyuma vimekaza lakini pia kwa majirani na huko mumechonganishwa hivyo pakutorokea hakuna.
 
Kenya ni nchi maskini. Hakuna mtanzania anayejielewa atoke nchi ya neema TZ aende nchi iliyojaa njaa, ukame, slums, rushwa, ukabila, wizi, ufinyu wa ardhi. Hakuna cha maana kenya. Baada uwanja wa ndege mkubwa kukamilika hakuna mtz atakaye nusa kenya. Ni wasanii pekee wanaweza kuja huko.
 
Hakuna sababu ya maana ya watanzania kutbelea kenya. Watanzania wengi wanaoenda kenya ni wasanii, na wengine wanaotaka kusafiri kwenda nchi zingine kupitia kenya. Wakenya ni wabaguzi sana hawawezi kukaa na waTZ.
Wasanii 33,000? You must be a dimwit if not a dunderhead 😀:
 
Kenya ni reject country. Mpaka mnatangaza waafrika waje bure. Tanzania ni nchi ya neema kijana. Hakuna mtanzania anayejielewa anaweza kuja kenya. Aje kwa lipi hasa. Hebu jaribu kutushawishi. Tuje tufanye nini hapo kenya!? Yaani tuache kwenda Dubai, China, Japan, Uk, USA, SA nk. Tuje kenya!? Pamoja na watanzania kwends free south Afrika lakini hatushobokei. Nyie rais wenu anaenda kujiuza South Afrika kutafuta urafiki. Lakinj bado wanamgomea. Watanzania hatuna shobo rafiki.
 
Kujiuza????!! [emoji23][emoji23] Ana nn cha kuuza yule mabangi
 
Na itapungua hadi ibaki zero wabaki wale omba omba wenu, maana utawala wenu wa sasa unalea chuki baina yetu, kwa mara ya kwanza nimeskia Wakenya mtaani wakitaja chuki wanazoskia zinazotokea kwa Watanzania. Kawaida tuliokua tunajua chuki zenu ni sisi tu ambao tumewahi kuingia Tanzania, lakini leo hii mumeanza kutajwa vijiweni maana taarifa za hizo chuki zinafika huko, leo hii Mtanzania kujitambulisha ndani ya Wakenya anakua na kauwoga fulani, sio kama ilivyokua awali ambapo Wakenya hawakua hata na muda kuwaza Utanzania wako.

Yaani mpo pagumu kweli, nyumbani kwenu huko mnalia vyuma vimekaza lakini pia kwa majirani na huko mumechonganishwa hivyo pakutorokea hakuna.
Hahaha kwanza bado
tuliitaka hii hali kwa muda mrefu sana
Sioni cha umuhimu Kenya kwa sasa
 
Hakuna kitu kama hicho rafiki tusijidanganyane kabisa. Wao kwa wao tu wanabaguana. Angalia hata mfumo wa serikali yao ipo owned na elites.
Kwanini wakikutana wakikuyu na wakikuyu wanachonga michongo ya kuiba kwa pamoja?
Wewe ushawai tembelea Kenya ukabaguliwa? Endelea kukaa hapo Tandale ukidhani dunia inaishia hapo.
 
Back
Top Bottom