idadi ya watoto vs maisha bora

idadi ya watoto vs maisha bora

Kunyinyima kuzaa ni sawa na kuharibu generation zijazo. Kama ni kweli kuwa watu hujizaa (yaani huzaa wanaowafanania), ina maana mwenye akili atazaa mwenye akili, zoba atazaa zoba, nk. Sasa utakuta watu wenye akili kubwa tu ya academics, life skills etc wanataka kuzaa mtoto mmoja tu. Na wale walioshindwa maisha (pengine kwa sababu za kimaumbile/akili nk) wanazaa watoto kibao. Miaka 20 tu ijayo watoto hawa watakapokuwa wakubwa, utakuta watu 'dhaifu' mazoba wanakuwa wengi sana, na wale 'wa maana' wanakuwa wachache sana, nchi itaendeleaje? Hata katika uchaguzi msishangae tukajapata rais na wabunge mitaahira kwa sababu yatakayokuwa yanapiga kura ni mijitu vichwamaji, kisa tu wenye uwezo waligoma kuzaa tukajaziwa mijinga tu mtaani!

Watu wenye uwezo na akili za biashara kubwakubwa kama kina Mengi walipaswa wazae hata watoto 10 au zaidi, wana uwezo wa kuwatunza vizuri na kuwasomesha, wakatupatia per family kina Mengi wengine 10 or more. Watu kama wale maprofesa wenye vichwa vya maana wanaovumbua vitu vya kuendeleza taaluma duniani walipaswa wazae hadi itakaposhindikana, tupate maprofesa wengi zaidi. Wale kina nanii wanaogoma kuhama mabondeni, wale wengine tunaowaona kwenye tv wanaolala kwenye maboksi, wale ndio wangezuiwa kuzaa, au wapangiwe mtoto mmoja tu au wawili mwisho, maana ndio wanaotujazia vibaka mtaani.
 
Kunyinyima kuzaa ni sawa na kuharibu generation zijazo. Kama ni kweli kuwa watu hujizaa (yaani huzaa wanaowafanania), ina maana mwenye akili atazaa mwenye akili, zoba atazaa zoba, nk. Sasa utakuta watu wenye akili kubwa tu ya academics, life skills etc wanataka kuzaa mtoto mmoja tu. Na wale walioshindwa maisha (pengine kwa sababu za kimaumbile/akili nk) wanazaa watoto kibao.

Kuzaa ni uamuzi wa mtu. Kama mtu maisha yamemshinda na anazaa watoto kibao, huko ni kukosa uwajibikaji.

Miaka 20 tu ijayo watoto hawa watakapokuwa wakubwa, utakuta watu 'dhaifu' mazoba wanakuwa wengi sana, na wale 'wa maana' wanakuwa wachache sana, nchi itaendeleaje? Hata katika uchaguzi msishangae tukajapata rais na wabunge mitaahira kwa sababu yatakayokuwa yanapiga kura ni mijitu vichwamaji, kisa tu wenye uwezo waligoma kuzaa tukajaziwa mijinga tu mtaani!

Hmmm...hizi findings umezitoa wapi?

Watu wenye uwezo na akili za biashara kubwakubwa kama kina Mengi walipaswa wazae hata watoto 10 au zaidi, wana uwezo wa kuwatunza vizuri na kuwasomesha, wakatupatia per family kina Mengi wengine 10 or more. Watu kama wale maprofesa wenye vichwa vya maana wanaovumbua vitu vya kuendeleza taaluma duniani walipaswa wazae hadi itakaposhindikana, tupate maprofesa wengi zaidi.

Hizi dhana/ nadharia nyingine hizi....kaazi kweli kweli.

Wale kina nanii wanaogoma kuhama mabondeni, wale wengine tunaowaona kwenye tv wanaolala kwenye maboksi, wale ndio wangezuiwa kuzaa, au wapangiwe mtoto mmoja tu au wawili mwisho, maana ndio wanaotujazia vibaka mtaani.

Wewe una mtoto/ watoto?
 
Mi nimeoa lakini sijaona sababu ya kuzaa, so naenjoy na wifey tu. Watoto siyo ishu kabisa, wanarestrict starehe na wifey!
 
Kunyinyima kuzaa ni sawa na kuharibu generation zijazo. Kama ni kweli kuwa watu hujizaa (yaani huzaa wanaowafanania), ina maana mwenye akili atazaa mwenye akili, zoba atazaa zoba, nk. Sasa utakuta watu wenye akili kubwa tu ya academics, life skills etc wanataka kuzaa mtoto mmoja tu. Na wale walioshindwa maisha (pengine kwa sababu za kimaumbile/akili nk) wanazaa watoto kibao. Miaka 20 tu ijayo watoto hawa watakapokuwa wakubwa, utakuta watu 'dhaifu' mazoba wanakuwa wengi sana, na wale 'wa maana' wanakuwa wachache sana, nchi itaendeleaje? Hata katika uchaguzi msishangae tukajapata rais na wabunge mitaahira kwa sababu yatakayokuwa yanapiga kura ni mijitu vichwamaji, kisa tu wenye uwezo waligoma kuzaa tukajaziwa mijinga tu mtaani!

Watu wenye uwezo na akili za biashara kubwakubwa kama kina Mengi walipaswa wazae hata watoto 10 au zaidi, wana uwezo wa kuwatunza vizuri na kuwasomesha, wakatupatia per family kina Mengi wengine 10 or more. Watu kama wale maprofesa wenye vichwa vya maana wanaovumbua vitu vya kuendeleza taaluma duniani walipaswa wazae hadi itakaposhindikana, tupate maprofesa wengi zaidi. Wale kina nanii wanaogoma kuhama mabondeni, wale wengine tunaowaona kwenye tv wanaolala kwenye maboksi, wale ndio wangezuiwa kuzaa, au wapangiwe mtoto mmoja tu au wawili mwisho, maana ndio wanaotujazia vibaka mtaani.
du, nimecheka saana. thanks
 
Watz tuwe makini sana na hii habari ya kuzaa mtoto mmoja au wawili..mnaona wenzetu wa Ulaya wanavyopata shida??

Halafu ukiwa na mtoto mmoja je nani atakuangalia wakati wa uzee wakati hakuna social security?

Watz..jamani watoto wazuri sana! Tuwe na nia na dhamira kupenda kuzaa watoto wengi!!!
 
Watz tuwe makini sana na hii habari ya kuzaa mtoto mmoja au wawili..mnaona wenzetu wa Ulaya wanavyopata shida??

Halafu ukiwa na mtoto mmoja je nani atakuangalia wakati wa uzee wakati hakuna social security?

Watz..jamani watoto wazuri sana! Tuwe na nia na dhamira kupenda kuzaa watoto wengi!!!

Hapa tuko pamoja 100%
 
One Child policy in China has actually backfired in terms of "child quality".most of children born in modern era are taken care by 6 people,2 pair of grandma/grandpa and parents.the result is what they now call "little kings".children who control their parents the moment they realize they are the only ones!

Now what Chinese thought would be strong children-academic wise have turned out to be lazy,internet addicts,underachievers,etc
Parents are left disappointed because at first they tried to provide everything for their children,now their children can't do anything creative and on their own.

although there are upsides to this also,especially to children & government.Less population to take care for the government and almost a financially secured future for the child.Eg.In a typical Chinese marriage now everything is provided by the parents(from both sides).house,car,Job,income etc...,no wonder the child can't do anything.

so,for us Africans all wee need to do is look at the positives & negatives.

Chinese used to have many children before..,they grew up in very tough situations.they are very strong mentally.they can easily succeed anywhere in a competitive environment compare to any other race of the same generation.

those children grew up and made the strong china people are seeing now.

On the other hand Japan took the Chinese one child policy even earlier.and the result is High elderly population,and lack of interest in marriage and children.it is common for a Japanese clan to have just 10 members now,all above 70 with no children to their name.

so,at first these one child policies helps solving immediate socio-economic problems,BUT in long term the results are not so rosy.

cheers!
 
so far nashukuru kwa response ya wale waliochangia, lakini bado nahitaji michango ya wengi zaidi. Vipi mtu ukiamua unataka mmoja peke yake, hivi jamii itakuelewa, i mean wazazi wa pande zote mbili, mawifi nk? how to deal with them wakianza kuchonga?
...Mtoto si wenu wewe na mwenza wako sasa wengine wa nini wakuumize kichwa mkuu?? mtoto hata akiwa 1 poa tu lakini maximum 2. mazee nina imani 2 unaweza kuwapeleka vizuri tu na hasa katika masuala ya elimu si unajua siku hizi kuanzia vidudu mpaka Mlimani ni mfuko wako???
 
check kwanza maisha yenu nyie wawili na siyo ya wazazi wenu kwani wao siyo watakao wasomeshea hao mtakaoleta huku duniani, mambo ya kusema wazazi au wakwe hawatawaelewa hayo yamepitwa na wakati na kama kweli nyie mnapendana na mna msimamo wa dhati basi hata wazazi wenu hawata wayumbisha,

kuhusu idadi ya watoto kuna factors nyingi za kuangalia
kwanza kipato chenu na malezi ambayo mngependa kumpa mtoto(wa) wenu, kama kipato ni kuzuri na then 2-3 ni sawa kabisa.
pili afya yenu nyie wazazi pia ni muhimu kwani kama tayari mna haya magonjwa kama sukari, presha n.k then lazima ufikirie upya kuhusu uzazi kwani huenda watoto(m) wakabaki bila mzazi mmoja au wote kwa muda mrefu wa ukuaji wao na hii itaadhiri malezi yao sana.

tatu furaha yenu iko wapi kama ni kuwa na watoto ambao mnaweza kuwalea basi poa, lakini kama hakuna furaha ya kuwa na watoto then basi hata mmoja tu anatosha.

ushauri wangu ni kuwa kwa uhalisia wa maisha ya sasa kama wewe siyo fisadi unafanya kazi na kipato hichi cha TZ then watoto 2 maximum, huku ukizingatia malezi, elimu na makuzi mengine ya kimaisha na nyie kujipanga kwa uzeeni pia ni muhimu kulifikiria mapema.
 
From biological point of view, two children is for your replacement just to maintain your generation more than two is to increase the population, which also have a positive economic impact because you increase the number of consumers for our local products therefore no need for external market. A good example is china & india which have high population and their economy is growing at very fast rate. Kwa hiyo tuzae tu hadi mwisho.
 
Watoto inatagemea mwenyezi mungu amewajalia wangapi as many as possible ila criteria is:-
a) Income of course kama fedha zipo ntazaa wengi kwakuwa ninauwezo wa kulisha na kusomesha maisha bora
b) Lazima ukubali kuzaa kwa mpango..(i.e.) the gap between one kid to another recommended ni mbili mpaka tatu..hii inasaidia afya ya mama vilevile ni natural family planning..
c) Age yako na mke wako..mathalan kama una mke anamiaka around 30 bilogically amebakiza kama miaka 6-10 kuzaa kwa raha bila matatizo makubwa ya kiafya..(space hapo ni 10 year hapo ina maana ukitumia (b) above huwezi kuwa na watoto zaidi ya tano piga ua! kama yko chini hapo utapata wengi
d) bottom line: wife anataka ngapi?? kwani wewe unazaa ndugu unaweza kutaka watatu yeye akataka nne akakulengesha utakataa mtoto? NO.
 
Watu bwana!!! tuko selfish sana!! Yaani tunapenda tu kutanua na hatutaki watoto wengi!! yaani sielewi..msomi unakuwa na mtoto 1 au wawili??

Minimum kwa wasomi iwe ni 5 na wamachinga iwe 3!

Wasomi you are not doing Justice to the future welfare of Tz!

Eti unakuta Professor mzima ana watoto wawili ..na mmachinga ana watoto 6! If this fair kwa future ya hili taifa kweli?
msomi muda wake wingi anautumia shuleni, anapokuja kuoa/kuolewa umri unakuwa unakaribia kumtupa mkono (less reproductive age),tofauti na mtu ambaye haja soma anaowa/anaolewa mapema (long reproductive age) huyu msomi ndiyo fisadi wetu wa leo anatumia muda mwingi kupanga mikakati ya kufusadi pamaoja na kuwa na safari nyingi sinasomfawa kuwa mbali na mwenzie wake hivyo kupunguza uwezekano wakupeana mimba. Tofauti na huyu jamma ambaye ajaenda shule all the time yupo na partner wake. Pia msomi huyu anarudi nyumba ameshoka mipago ya ufisadi imenda kombo no sex libido. Kwa hiyo wasomi hawapigi wawe na watoto wangapi but circumstance dictates
 
hivi hao mawifi wa kuja kukuuliza wewe mpaka mambo ya kitandani na mumeo inawahusu nini? na wao wameolewa? kama ndio bac wao waendelee kujaza familia zao sio waingilie mpaka plans za familia yangu....

Kuna Mawifi na Mama wakwe ambao ni balaa tupu, usiombe kukutana nao kabisa na usiombe Kaka yao awe anawasikiliza.
 
Kama all other factors remain contant ie kipato kizuri,,afya nzuri ya wazazi,ndoa ya upendo etc mimi naona wanne wanatosha.Tena Mungu akijaalia wachanganyike kijinsia kama 2boys,2girls au 3girls,boy,ama 3boys and one girl safi tu.
Mimi hata kama kuzaa uchungu lakini nataka wanne.
 
Mimi ningependelea watoto 4 lakini tatizo lipo kwa mama watoto, yeye anataka 5 au 6. Ndipo hapo ninapochanganyikiwa.
 
Mimi ningependelea watoto 4 lakini tatizo lipo kwa mama watoto, yeye anataka 5 au 6. Ndipo hapo ninapochanganyikiwa.


Mkuu we donate sperm tu 'mzigo' si anabeba yeye bana?
 
Wahenga wamesema kazi kulea si kuzaa.

Hili ni kweli kabisa. Utakuta couples wana uwezo labda wa kuwalea vizuri watoto wawili lakini wakajaliwa kupata watoto wa gender moja basi wanaweza kuendelea "kujaribisha" ili wajaliwe mtoto wa gender wanayotaka hatimaye wanakuwa na timu ya Basketball. Nawafahamu couples ambao walitaka watoto wawili tu, basi wakajaliwa watoto wawili wa kike wakaendelea "kujaribisha" na sasa wana watoto sita wote wa kike. Wengine bado wana imani ile ya mwaka 47 kwamba kila mtoto "anakuja na riziki yake" imani ambayo ni potofu kabisa.
 
These are the factors I would consider:

a)Kipato cha familia

b)Uwezo wa mke wangu kuendelea kuzaa(maana maumivu ya uzazi ana pata mwenzangu so she must have a large say in it)

Ningependa kuwa na watoto wawili ikitokea ni wa jinsia tofauti but I would try for a third kama wiwili wa kwanza ni wa jinsia moja then basi lakini with the above factors in mind.


Aww!, that's very considerate of you...
 
Back
Top Bottom