Idadi ya watu Duniani kufika bilion 8+ mwaka 2024 huku wanaume tukitarajiwa kuongoza

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Idadi ya watu duniani inatarajiwa kufika Bilioni 8, kunako January 1 huku sisi Me tukitarajiwa kuongoza kwa asilimia chache.

Ongezeko la watu duniani linachangiwa na vitu vifuatavyo;
✓ Kuboreka kwa huduma za kibinadamu hasa teknolojia ya matibabu
✓ Upatikanaji wa vyakula

Ongeza zakwako.


 
Polygamist hutumia kigezo cha wingi wa wanawake dhidi ya uchache wa wanaume ili kuhalalisha wao wanaume kuwamiliki wanawake wengi; Now—kama mtoa mada uko sahihi, meza imepinduka—wanaume ni wengi kuliko wanawake; je, ni halali sasa kwa wanawake kumiliki wanaume zaidi ya moja (Polyandry)?
 
Hapo haiongelewi Ndoa mkuu masuala ya Ndoa Ni tofauti maana sio wanaume wote wataoa au wapo kwenye umri wa kuoa pia idadi kwa nchi na nchi inatofautiana labda tuwaulize wenye kuandaa hizo takwimu
 
Hapo haiongelewi Ndoa mkuu masuala ya Ndoa Ni tofauti maana sio wanaume wote wataoa au wapo kwenye umri wa kuoa pia idadi kwa nchi na nchi inatofautiana labda tuwaulize wenye kuandaa hizo takwimu
Mkuu, takwimu ni nyenzo ya kufanyia uchambuzi na kuyaelewa masuala mbalimbali. Mimi nimetumia takwimu hizo kufanya reflection ya suala la ndoa kwenye jamii yetu.
 
Wanaume wanaongezeka au wanapungua??
 

Hawa ambao hawaolewi si ndio wanakuwa wasagaji
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…