Idadi ya watumishi wa umma Tanzania-je inaweza kuamua mshindi?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Kwa mujibu wa takwimu idadi ya watumishi wa umma ni kati ya laki tano na laki 6 ...Je idadi hii inaweza kuwa na maamuzi ya kumchagua Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa kutumia kura zao?
Jibu...HAPANA ...lazima ridhaa ya watanzania wengi zaidi sana ipatikane.

Assumption 1: ondoa kura za watumishi wa umma zote tusubiri za wananchi wengine.(Usisahau Samia ameongeza mishahara katika kipindi chake)
 
Watumishi wa umma tupo na mama samia piga ua.
 
Back
Top Bottom