Kwa mujibu wa takwimu idadi ya watumishi wa umma ni kati ya laki tano na laki 6 ...Je idadi hii inaweza kuwa na maamuzi ya kumchagua Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa kutumia kura zao?
Jibu...HAPANA ...lazima ridhaa ya watanzania wengi zaidi sana ipatikane.
Assumption 1: ondoa kura za watumishi wa umma zote tusubiri za wananchi wengine.(Usisahau Samia ameongeza mishahara katika kipindi chake)