Idadi ya wawekezaji nchini Tanzania yazidi kupaa

wanzagitalewa

Senior Member
Joined
Jan 25, 2018
Posts
128
Reaction score
84
Ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mataifa mbalimbali duniani zimezaa matunda kwa kufanya idadi ya wawekezaji nchini kuongozeka.

Rais Samia amekua akiwahakikishia wawekezaji kutoka nje kuja nchini kwani kuna mazingira mazuri ya uwekezaji na pia malighafi zote zinatohitajika katika shughuli za uwekezaji.

“Ndugu zangu mabibi na mabwana, serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi na rafiki kwa ufanyaji wa biashara na uwekezaji. Tunafahamu bila mchango wa sekta binafsi hatuwezi kuleta mageuzi makubwa ya uchumi wa nchi yetu.” - Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.

Pia, Rais Samia ameshawishi wawekezaji wengi kuja kuwekeza nchini kupitia filamu ya Royal Tour Tanzania ambapo ndani yake Mkuu huyu wa nchi ameonyesha vivutio vingi vinavyopatikana Tanzania hivyo kuzidi kuvutia wageni kuja kuwekeza nchi kwenye sekta ya utalii.

Hivi sasa, takwimu zinaonyesha kwamba idadi ya watalii wanaoingia nchini hususani jijini Dar es Salaam imeongezeka kwa asilimia 280 na Arusha asilimia 340 na hii ni kutokana na namna Rais Samia Suluhu anavyojitahidi kunadi utalii na vivutio vilivyopo nchini.

Tayari wawekezaji wameanza kuja nchini na kuwekeza kwenye maeneo mbalimbali huku Rais Samia alihamasisha kuonyesha ushirikiano kwao pindi wanapoonyesha nia ya kuja kuwekeza kwani kupitia wao ajira zitazalishwa na pia kubadilishana ujuzi wa mambo mbalimbali.

Baada ya kumalizikina kwa maonyesho ya sabasaba mwaka huu 2022, ilisainiwa mikataba 19 na wawekezaji waliotembela maonyesho hayo kutoka mataifa mbalimbali.

Mikataba 10 ya ujenzi wa viwanda vikubwa 500 vya kuchakata nafaka, kuuza na kununua mazao, ufugaji samaki, usafirishaji bidhaa kimataifa utakaokamilika mwaka 2025.

Mikataba 9 ya uwekezaji wa eneo maalum la viwanda la Sino Tan Park ambavyo ni Kwara vilivyopo Kibaha mkoani Pwani.

Viwanda hivyo vitazalisha ajira 500,000 ambapo 100,000 ajira za moja kwa moja na 400,000 za muda.

7-1024x550.jpg
 
Hao watalii wanalipa kwa pesa za burundi ama za Msumbiji?

Nikusaidie tu uelewe, chanzo kikuu cha pesa za kigeni Tanzania ni mauzo ya mazao ghafi kama korosho na Pamba ama kahawa na utalii.

Inapotokea tumeuza mazao ama watalii wengi pesa ya Tanzania hupanda thamani dhidi ya Dollar, sasa nikuulize, toka December mwaka jana umeona Dollar imeshuka thamani? Kila siku inapanda kwa maana kwamba shilingi inashuka thamani kila siku.

Hii ni kutokana na msingi wa kiuchumi wa mahitaji na upatikanaji (demand and supply). Ukiona thamani ya pesa ya kigeni inapanda ujue demand ni kubwa kuliko supply (inflows)

Sasa kama hao watalii wanakuja wengi hivyo, wanalipa kwa pesa gani, mbona Dollar hazionekani ama wanakuja kutalii bure?

December Mwaka jana Dollar moja ilikua Shilingi 2324, sasa iko 2355, kama Dollar zingekuwepo kutokana na watalii wengi Dollar ingekua shilingi 2305 hadi 2310 ama chini ya hapo.

Wewe taahira unasikiliza maneno ya uongo ya wanasiasa sisi wenye akili tunaangalia viashiria vya kiuchumi.

Wanasiasa wanajua hii nchi imejaa wajinga wengi kama wewe ambao hamjui hata basic economics ama basic financial principles hivyo wanasema chochote na makondoo manakimeza kama kilivyo.

Watu kama wewe ndio mtaji wa wanasiasa wa Tanzania.
 
View attachment 2295228

Wote wanaofaidika na utawala uliopo hizi ndio ngonjera zao.
 
Bora usaidie haya matapeli yanadhani watu wamelala kihivyo.
 
Katiba mpya itawasimamia ipasavyo wawekezaji Ili uwekezaji wao uguse WANANCHI moja kwa moja KULIKO ilivyo Sasa wawekezaji wamewaliza watanzania hasa kwenye ardhi na kuwaachia mashimo katika makazi yao ambaya ni vigumu kuyajaza vifusi na kusababisha sintofahamu kwq watz maeneo husika!!?

Kile kilichotokea Lolliondo hakitojitokeza tena kwa uvunjifu wa haki za Binadamu na mateso kea wakazi!!

NACHELEA

Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA!
 
Mtoa mada huogopi kutukanwa na wenye chuki zao na awamu hii?!!!

Lakini pia huogopi kuwaumiza watu matumbo?!!! Maana wakisikia hili hizo hasira wanazopandisha si za dunia hii.......wao wafurahishe kwa kuwaambia mabaya tu ya mama na wasaidizi wake; kwamba wezi, kwamba whawajui kutawala n.k
 
Mabeberu wawekezaji ni wanusaji mashuhuri!! Wakinusa wakaona kuna shamba la bibi mahali huelekea huko kwa mwendo wa mwanga!! Nahisi wamenusa harufu ya shamba la bibi hapa Tz!!!
 
Mtoa mada huogopi kutukanwa na wenye chuki zao na awamu hii?!!!

Lakini pia huogopi kuwaumiza watu matumbo?!!! Maana wakisikia hili hizo hasira wanazopandisha si za dunia hii.......wao wafurahishe kwa kuwaambia mabaya tu ya mama na wasaidizi wake; kwamba wezi, kwamba whawajui kutawala n.k
Ili kuwapa pressure na madonda ya tumbo ni kuzidi kuwakera kwa data.

Mimi wakichukia ndio Huwa napenda na kuzidi kuwagonga kwa mambo mazuri kama haya 👇 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220710-192258.png
    Screenshot_20220710-192258.png
    158.2 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220718-150144.png
    Screenshot_20220718-150144.png
    152.4 KB · Views: 7
Katiba mpya itawasimamia ipasavyo wawekezaji Ili uwekezaji wao uguse WANANCHI moja kwa moja KULIKO ilivyo Sasa wawekezaji wamewaliza watanzania hasa kwenye ardhi na kuwaachia mashimo katika makazi yao ambaya ni vigumu kuyajaza vifusi na kusababisha sintofahamu kwq watz maeneo husika!!?

Kile kilichotokea Lolliondo hakitojitokeza tena kwa uvunjifu wa haki za Binadamu na mateso kea wakazi!!

NACHELEA

Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA!
Wamewalizaje?
 
Ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mataifa mbalimbali duniani zimezaa matunda kwa kufanya idadi ya wawekezaji nchini kuongozeka.

Rais Samia amekua akiwahakikishia wawekezaji kutoka nje kuja nchini kwani kuna mazingira mazuri ya uwekezaji na pia malighafi zote zinatohitajika katika shughuli za uwekezaji.

“Ndugu zangu mabibi na mabwana, serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi na rafiki kwa ufanyaji wa biashara na uwekezaji. Tunafahamu bila mchango wa sekta binafsi hatuwezi kuleta mageuzi makubwa ya uchumi wa nchi yetu.” - Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.

Pia, Rais Samia ameshawishi wawekezaji wengi kuja kuwekeza nchini kupitia filamu ya Royal Tour Tanzania ambapo ndani yake Mkuu huyu wa nchi ameonyesha vivutio vingi vinavyopatikana Tanzania hivyo kuzidi kuvutia wageni kuja kuwekeza nchi kwenye sekta ya utalii.

Hivi sasa, takwimu zinaonyesha kwamba idadi ya watalii wanaoingia nchini hususani jijini Dar es Salaam imeongezeka kwa asilimia 280 na Arusha asilimia 340 na hii ni kutokana na namna Rais Samia Suluhu anavyojitahidi kunadi utalii na vivutio vilivyopo nchini.

Tayari wawekezaji wameanza kuja nchini na kuwekeza kwenye maeneo mbalimbali huku Rais Samia alihamasisha kuonyesha ushirikiano kwao pindi wanapoonyesha nia ya kuja kuwekeza kwani kupitia wao ajira zitazalishwa na pia kubadilishana ujuzi wa mambo mbalimbali.

Baada ya kumalizikina kwa maonyesho ya sabasaba mwaka huu 2022, ilisainiwa mikataba 19 na wawekezaji waliotembela maonyesho hayo kutoka mataifa mbalimbali.

Mikataba 10 ya ujenzi wa viwanda vikubwa 500 vya kuchakata nafaka, kuuza na kununua mazao, ufugaji samaki, usafirishaji bidhaa kimataifa utakaokamilika mwaka 2025.

Mikataba 9 ya uwekezaji wa eneo maalum la viwanda la Sino Tan Park ambavyo ni Kwara vilivyopo Kibaha mkoani Pwani.

Viwanda hivyo vitazalisha ajira 500,000 ambapo 100,000 ajira za moja kwa moja na 400,000 za muda.

View attachment 2295228
Kupaa kwenda wapi? wanamabawa nao ?
 
Hao watalii wanalipa kwa pesa za burundi ama za Msumbiji?

Nikusaidie tu uelewe, chanzo kikuu cha pesa za kigeni Tanzania ni mauzo ya mazao ghafi kama korosho na Pamba ama kahawa na utalii.

Inapotokea tumeuza mazao ama watalii wengi pesa ya Tanzania hupanda thamani dhidi ya Dollar, sasa nikuulize, toka December mwaka jana umeona Dollar imeshuka thamani? Kila siku inapanda kwa maana kwamba shilingi inashuka thamani kila siku.

Hii ni kutokana na msingi wa kiuchumi wa mahitaji na upatikanaji (demand and supply). Ukiona thamani ya pesa ya kigeni inapanda ujue demand ni kubwa kuliko supply (inflows)

Sasa kama hao watalii wanakuja wengi hivyo, wanalipa kwa pesa gani, mbona Dollar hazionekani ama wanakuja kutalii bure?

December Mwaka jana Dollar moja ilikua Shilingi 2324, sasa iko 2355, kama Dollar zingekuwepo kutokana na watalii wengi Dollar ingekua shilingi 2305 hadi 2310 ama chini ya hapo.

Wewe taahira unasikiliza maneno ya uongo ya wanasiasa sisi wenye akili tunaangalia viashiria vya kiuchumi.

Wanasiasa wanajua hii nchi imejaa wajinga wengi kama wewe ambao hamjui hata basic economics ama basic financial principles hivyo wanasema chochote na makondoo manakimeza kama kilivyo.

Watu kama wewe ndio mtaji wa wanasiasa wa Tanzania.
Wewe endeleza ujuaji wako wakati wenye akili kukuzidi wanaziona fursa na kuzitumia kutengeneza utajiri.

Wewe ni mwafrika halisi, huna jema lolote linalofanywa na serikali. Chunga sana utazeeka huku mdomoni mwako zinatoka lawama tu.
 
Acha uchawa hapo hamna frusa.
 
Back
Top Bottom