Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Ukitazama kwa akili ndogo huwezi kuziona. Funguka akili pia achana na kupunguzia hasira maneno ya kejeli kwa usiwaojua.Acha uchawa hapo hamna frusa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitazama kwa akili ndogo huwezi kuziona. Funguka akili pia achana na kupunguzia hasira maneno ya kejeli kwa usiwaojua.Acha uchawa hapo hamna frusa.
Umesahau Kimara yale maelfu ya nyumba zilizobomolewa kupisha barabara ya njia nne!?.Kubomolewa nyumba kupisha mwekezaji ndicho kipaumbele awamu hii!!lolliondo, ngoro ngoro,nzega,nyamongona n.k watz walilia Sana!!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe Katiba Mpya""!
Hii nchi yetu nadharia huwa ina nguvu kuliko vitendo, kama investors ni wengi tutarajie kurudi kwenye uchumi wa kati.Ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mataifa mbalimbali duniani zimezaa matunda kwa kufanya idadi ya wawekezaji nchini kuongozeka.
Rais Samia amekua akiwahakikishia wawekezaji kutoka nje kuja nchini kwani kuna mazingira mazuri ya uwekezaji na pia malighafi zote zinatohitajika katika shughuli za uwekezaji.
“Ndugu zangu mabibi na mabwana, serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi na rafiki kwa ufanyaji wa biashara na uwekezaji. Tunafahamu bila mchango wa sekta binafsi hatuwezi kuleta mageuzi makubwa ya uchumi wa nchi yetu.” - Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.
Pia, Rais Samia ameshawishi wawekezaji wengi kuja kuwekeza nchini kupitia filamu ya Royal Tour Tanzania ambapo ndani yake Mkuu huyu wa nchi ameonyesha vivutio vingi vinavyopatikana Tanzania hivyo kuzidi kuvutia wageni kuja kuwekeza nchi kwenye sekta ya utalii.
Hivi sasa, takwimu zinaonyesha kwamba idadi ya watalii wanaoingia nchini hususani jijini Dar es Salaam imeongezeka kwa asilimia 280 na Arusha asilimia 340 na hii ni kutokana na namna Rais Samia Suluhu anavyojitahidi kunadi utalii na vivutio vilivyopo nchini.
Tayari wawekezaji wameanza kuja nchini na kuwekeza kwenye maeneo mbalimbali huku Rais Samia alihamasisha kuonyesha ushirikiano kwao pindi wanapoonyesha nia ya kuja kuwekeza kwani kupitia wao ajira zitazalishwa na pia kubadilishana ujuzi wa mambo mbalimbali.
Baada ya kumalizikina kwa maonyesho ya sabasaba mwaka huu 2022, ilisainiwa mikataba 19 na wawekezaji waliotembela maonyesho hayo kutoka mataifa mbalimbali.
Mikataba 10 ya ujenzi wa viwanda vikubwa 500 vya kuchakata nafaka, kuuza na kununua mazao, ufugaji samaki, usafirishaji bidhaa kimataifa utakaokamilika mwaka 2025.
Mikataba 9 ya uwekezaji wa eneo maalum la viwanda la Sino Tan Park ambavyo ni Kwara vilivyopo Kibaha mkoani Pwani.
Viwanda hivyo vitazalisha ajira 500,000 ambapo 100,000 ajira za moja kwa moja na 400,000 za muda.
View attachment 2295228
Kweli elimu ya Tanzania inatakiwa kufumuliwa na kusukwa upya Ili kupunguza kama sio kumaliza mataahira na mbumbumbu kama wewe..Kubomolewa nyumba kupisha mwekezaji ndicho kipaumbele awamu hii!!lolliondo, ngoro ngoro,nzega,nyamongona n.k watz walilia Sana!!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe Katiba Mpya""!
Kama fidia zimelipwa KWANINI lolliondo mauaji yalitokea!!?si fidia wamelipwa!!?Sasa nguvu ya Nini itumike!!?Kweli elimu ya Tanzania inatakiwa kufumuliwa na kusukwa upya Ili kupunguza kama sio kumaliza mataahira na mbumbumbu kama wewe..
Kwamba Katiba ya Warioba itawapiga marufuku Wawekezaji sio?
Kwamba Wawekezaji wakihitaji Ardhi au Serikali ikihitaji Ardhi huwa inawapora na kuwafukuza wananchi sio? Unaweza nipa mfano Wananchi walikofukuzwa bila au kuondolewa bila fidia?
Zinduka usingizini Rais Samia yuko madarakani sio Jiwe,hata hiyo Katiba mpya yeye Kwa utashi ndio anatake ila ccm hawataki na Kwa taarifa yako alishasema Katiba mpya itakuja hata kama itagharimu madaraka yake hajali bali itakuwa ni alama muhimu kaacha hapa Duniani.
Tumeona hadi Wamasai wamehamishwa kupisha Wawekezaji , Hongereni sanaZiara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mataifa mbalimbali duniani zimezaa matunda kwa kufanya idadi ya wawekezaji nchini kuongozeka.
Rais Samia amekua akiwahakikishia wawekezaji kutoka nje kuja nchini kwani kuna mazingira mazuri ya uwekezaji na pia malighafi zote zinatohitajika katika shughuli za uwekezaji.
“Ndugu zangu mabibi na mabwana, serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi na rafiki kwa ufanyaji wa biashara na uwekezaji. Tunafahamu bila mchango wa sekta binafsi hatuwezi kuleta mageuzi makubwa ya uchumi wa nchi yetu.” - Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.
Pia, Rais Samia ameshawishi wawekezaji wengi kuja kuwekeza nchini kupitia filamu ya Royal Tour Tanzania ambapo ndani yake Mkuu huyu wa nchi ameonyesha vivutio vingi vinavyopatikana Tanzania hivyo kuzidi kuvutia wageni kuja kuwekeza nchi kwenye sekta ya utalii.
Hivi sasa, takwimu zinaonyesha kwamba idadi ya watalii wanaoingia nchini hususani jijini Dar es Salaam imeongezeka kwa asilimia 280 na Arusha asilimia 340 na hii ni kutokana na namna Rais Samia Suluhu anavyojitahidi kunadi utalii na vivutio vilivyopo nchini.
Tayari wawekezaji wameanza kuja nchini na kuwekeza kwenye maeneo mbalimbali huku Rais Samia alihamasisha kuonyesha ushirikiano kwao pindi wanapoonyesha nia ya kuja kuwekeza kwani kupitia wao ajira zitazalishwa na pia kubadilishana ujuzi wa mambo mbalimbali.
Baada ya kumalizikina kwa maonyesho ya sabasaba mwaka huu 2022, ilisainiwa mikataba 19 na wawekezaji waliotembela maonyesho hayo kutoka mataifa mbalimbali.
Mikataba 10 ya ujenzi wa viwanda vikubwa 500 vya kuchakata nafaka, kuuza na kununua mazao, ufugaji samaki, usafirishaji bidhaa kimataifa utakaokamilika mwaka 2025.
Mikataba 9 ya uwekezaji wa eneo maalum la viwanda la Sino Tan Park ambavyo ni Kwara vilivyopo Kibaha mkoani Pwani.
Viwanda hivyo vitazalisha ajira 500,000 ambapo 100,000 ajira za moja kwa moja na 400,000 za muda.
View attachment 2295228
Em wakajaribu kwa wale majirani wa wamasai kubomoa makazi ya Wameru na kuweka wawekezaji tuone motoKubomolewa nyumba kupisha mwekezaji ndicho kipaumbele awamu hii!!lolliondo, ngoro ngoro,nzega,nyamongona n.k watz walilia Sana!!