Idadi ya wawekezaji nchini Tanzania yazidi kupaa

Hao wawekezaji hawajaanza kuja leo,shida wanakuja alafu wanapotea hawarudi,mnapaswa kujiuliza kwanini hawarudi?Mama yenu mwenyewe analalamika wawekezaji wanazungushwa mpaka wanakata tamaa!
Kwaiyo Mama anasema uongo ndugu zanguuuu......?
Ata Kikwete alivyoingia madarakani walikuja wasanii kibao kwa jina la wawekezaji kutoka Marekani na walikaa vikao Arusha chini ya mwamvuli wa Sulvan Summit.
Sector ambayo tumefanikiwa kuvutia wawekezaji ni ya madini tu ingawa nako tumepigwa za uso sana!
 
Hii nchi yetu nadharia huwa ina nguvu kuliko vitendo, kama investors ni wengi tutarajie kurudi kwenye uchumi wa kati.
 
Wawekezaji wako wapi? Kama wapo na hawaleti nafuu ya maisha ya watu wa kawaida nini faida yake?

Ni wezi tu siyo wawekezaji
 
Kubomolewa nyumba kupisha mwekezaji ndicho kipaumbele awamu hii!!lolliondo, ngoro ngoro,nzega,nyamongona n.k watz walilia Sana!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe Katiba Mpya""!
Kweli elimu ya Tanzania inatakiwa kufumuliwa na kusukwa upya Ili kupunguza kama sio kumaliza mataahira na mbumbumbu kama wewe..

Kwamba Katiba ya Warioba itawapiga marufuku Wawekezaji sio?

Kwamba Wawekezaji wakihitaji Ardhi au Serikali ikihitaji Ardhi huwa inawapora na kuwafukuza wananchi sio? Unaweza nipa mfano Wananchi walikofukuzwa bila au kuondolewa bila fidia?

Zinduka usingizini Rais Samia yuko madarakani sio Jiwe,hata hiyo Katiba mpya yeye Kwa utashi ndio anatake ila ccm hawataki na Kwa taarifa yako alishasema Katiba mpya itakuja hata kama itagharimu madaraka yake hajali bali itakuwa ni alama muhimu kaacha hapa Duniani.
 
Kama fidia zimelipwa KWANINI lolliondo mauaji yalitokea!!?si fidia wamelipwa!!?Sasa nguvu ya Nini itumike!!?

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Tumeona hadi Wamasai wamehamishwa kupisha Wawekezaji , Hongereni sana
 
Wewe kula tu, ndio kawaida yenu ila usijisahau uwa yanapita
 
Kubomolewa nyumba kupisha mwekezaji ndicho kipaumbele awamu hii!!lolliondo, ngoro ngoro,nzega,nyamongona n.k watz walilia Sana!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe Katiba Mpya""!
Em wakajaribu kwa wale majirani wa wamasai kubomoa makazi ya Wameru na kuweka wawekezaji tuone moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…