Idara maalumu za Serikali zishirikishwe kuboresha mfumo utoaji maoni yanayowasilishwa na wasomaji hapa JF

Idara maalumu za Serikali zishirikishwe kuboresha mfumo utoaji maoni yanayowasilishwa na wasomaji hapa JF

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Haya ni maoni yangu binafsi kabisa lengo ni kuweka utaratibu ulio bora zaidi wa utoaji maoni kulingana na mada mbalimbali zinazowasilishwa jukwaani

Idara maalumu za Serikali yetu zina uzoefu na weledi mkubwa hivyo naomba zitumiwe kikamilifu kutathimi kwa njia ya kupitia , kuchambua na kushauri ipasavyo utoaji maoni huku haki za wahusika zikilindwa Kwa mujibu wa sheria

Utaratibu huo naamini utaondoa maoni au mada zisizo na manufaa kwa nchi yetu

Naomba kuwasilisha

Sabato njema
 
Back
Top Bottom