Idara ya maji Arusha, hawapo makini katika utendaji wao wa kazi

Idara ya maji Arusha, hawapo makini katika utendaji wao wa kazi

ambiliki

Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
80
Reaction score
46
Idara ya maji Arusha, hawapo makini katika utendaji wao wa kazi na pia hawajali wateja wao, wanacho juwa ni kusoma meta za maji na kutuma bili, hiii siyo sawa.

1: Maji ya arusha Kwa sasa ya Latha ya chumvi niliwapigia simu na kusema watafanyia kazi Hadi Leo ni kimya

2: Bomba limepasuka hii ni week ya pili nimewapigia simu zaidi ya mara 5,hakuna urekebishaji,

3: Malipo ya maji kwanini kusiwe na mfumo kama wa umeme, hapa namanisha kunakuwa na tofauti za malipo kutokana na units za maji utakazo tumia.

Mfn ukitumia units 1-5 utalipa Kila units tsh 900 ila kuazia units 6 na kuaendelea wanakuuzia Kwa 1200 hi siyo sawa.

4. Gharama za kurudisha maji ulionkatiwa zipo juu.

BN: tukumbuke zote ni watanzania sio vema kukomoana, mje njiro mzibe haya maji yanayo mwagika bila sababu, mnalibwa kutoka na bili tunazo lipa njooni mzipe haya maji

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Maji sio chumvi tu hata kunyweka hayafai mdomoni tunajikaza tu
 
Back
Top Bottom