Idara ya maji ya mkoani kwenu inaitwaje?

Idara ya maji ya mkoani kwenu inaitwaje?

Dar es Salaam kuna DAWASCO.

mkoani kwenu kuna nini?
DAWASCO haipo Mkuu, ilishafutwa sasa ni
DAR ES SALAAM -DAWASA
DODOMA-DUWASA
TANGA- TANGAUWASA
MWANZA-MWAUWASA
MOROGORO- MOROWASA
KAHAMA NA SHINYANGA- KASHIWASA
MTWARA-MTUWASA
 
MKARITIZAME NA HILI. Ipo wilaya ya ..... Tanzania
 
Back
Top Bottom