Kama Ultrasound yako sio so special, unaweza kuifanyia popote ukaleta majibu kwa daktari wako....Haiwezekani hadi Ultrasound za kawaida zikafanyikie hospitali ya taifa...Tafsiri ya Hospitali ya Taifa ni rank ya mwisho ya rufaa, unatakiwa upewe huduma ambazo hazipatikani kwingine kuzuia msongamano...Waache wataalam wakomae na special ultrasound tests ambazo haziwezi kufanyika pembezoniLeo nimefika hospital ya taifa Muhimbili kufanya kipimo cha Ultra sound,kwa kweli hali niliyoishuhudia ni ya kusikitisha kwani wagonjwa wamekuwa wakikaa muda mrefu bila kupatiwa huduma.
Wagonjwa wakifika wanaambiwa wanywe maji wataitwa lakini unaweza kukaa zaidi ya saa 5 bado huitwi.
Angalau wale wanaotoka wodini hupewa kipaumbele kidogo lakini nyie ambao mmekuja kutoka majumbani ni balaa.
Nyie mtaona watu wengine wakitoka kufanyiwa kipimo bila kujua wameingiaje mtu akienda kuuliza anaambiwa subiri kwenye benchi utaitwa.
Sasa sijui vifaa ni vichache kuliko wagonjwa au na wao sasa wanalamba asali na nimesikia nikiwa pale pale hata kwenye kipimo cha MRI hali ni hiyo hiyo.
Wagonjwa wengi wanaofanya vipimo pale wanaudhuria kliniki za maradhi yao pale pale Muhimbili na ukifanyiwa kipimo majibu yanatumwa kwa daktari kwa njia ya mtandao sasa sijui kama wanaruhusu kwenda kufanya kwingine na kuleta majibu kwa daktari.Kama Ultrasound yako sio so special, unaweza kuifanyia popote ukaleta majibu kwa daktari wako....Haiwezekani hadi Ultrasound za kawaida zikafanyikie hospitali ya taifa...Tafsiri ya Hospitali ya Taifa ni rank ya mwisho ya rufaa, unatakiwa upewe huduma ambazo hazipatikani kwingine kuzuia msongamano...Waache wataalam wakomae na special ultrasound tests ambazo haziwezi kufanyika pembezoni
Wagonjwa wengi wazoefu wa MNH naonaga wanakuja vituo vya karibu wakiomba kufanya vipimo ili wakienda Muhimbili wajiepusha na adha za misongamano, wengine tena huwa wanasema Dr wao kawaruhusu.Wagonjwa wengi wanaofanya vipimo pale wanaudhuria kliniki za maradhi yao pale pale Muhimbili na ukifanyiwa kipimo majibu yanatumwa kwa daktari kwa njia ya mtandao sasa sijui kama wanaruhusu kwenda kufanya kwingine na kuleta majibu kwa daktari.
huwezi kufika hapo bila kupewa RUFAAKama Ultrasound yako sio so special, unaweza kuifanyia popote ukaleta majibu kwa daktari wako....Haiwezekani hadi Ultrasound za kawaida zikafanyikie hospitali ya taifa...Tafsiri ya Hospitali ya Taifa ni rank ya mwisho ya rufaa, unatakiwa upewe huduma ambazo hazipatikani kwingine kuzuia msongamano...Waache wataalam wakomae na special ultrasound tests ambazo haziwezi kufanyika pembezoni