REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Niende moja kwa moja kwenye mada naomba mod usiunganishe huu uzi maana hawa uhamiaji Uzi zao zimekuwa nyingi sana, na ni jeshi ambalo kama limejisahau hivi wao wanachoweza ni kutembelea nyumba za wageni, vituo vya usafiri kukuta wageni na kubageini biashara imeisha hawatimizi wajibu wao wakiamini watanzania wengi hatuna uelewa kuhusu sheria za uraia nk hii imepelekea raia wa kigeni wengi kujazana mitaani uku nakuanza kufanya shughuli ambazo hata wazawa wanaziweza hawa raia wapo na imani ofisi za uhamiaji mikoani na wilayani wanawajua ila wanawaacha wakiamini watanzania hatujui kinachoendelea Sasa tumechoka Kila mtu ashinde mechi zake, mwisho wa siku mtatuona raia wabaya kwani tutaanza wabananisha siye wenyewe uku mitaani, yani tukimuona anafanya biashara au shughuli ambayo tunajua kihalali haruhusiwi tutaanza wabananisha na kuwarekodi Sasa ewe afisa uhamiaji ambaye unajua eneo lako hawa watu wapo na unacheka Cheka nao au umewageuza kitega uchumi chako jiandae kuhesabiwa tumechoka
Mfano uuzaji wa vyombo vya kutumia majumbani mfano sufuria, chupa za chai nk, limeingia kundi la raia wakieshia mikoani uko na wilayani wanapita maofisini wanakopesha hivyo vitu, Sasa unapata wasi wasi hivi uyu katoka kwao uko kaja na hii biashara na kapewa kibari kabisa auze hizi bidhaa ajabu wengine wamekodi na nyumba wanaishi mitaani na raia
Mafundi ujenzi, mafundi magari wapo na wengi wa aisia unajiuliza uyu kapanda ndege aje kubeba zenge uku yani tukiendelea kucheka Cheka tutawaona mpaka kwenye boda boda
Tunasema haya si kwa wivu tunasema haya kwa sababu nchi za wenzetu tukienda wenzetu wapo seriously na mambo yao huwezi jiamulia kuuza vitumbua kisa unajua kupika vitumbua, au kufungua ofisi ya kushona nguo kisa unajua kushona
NB
Kauli za watanzania hatupendi kazi tumezubaa acha wenzetu wachangamkie hapa si mahala pake mod mtu akikomenti hivyo piga ban tupo seriously na mambo ya msingi hapa.