NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kuna watu wanataka kutumia fursa wapate chochoteMpaka Sasa mashabiki ni wengi kufikia hatua ya kuvunja geti na kuingia na hiyo inatokana na utendaji mbovu wa pale getini .
Kama timu imetangaza kuwa tiketi zote 60000 zimeuzwa watendaji walipaswa kufungua geti mapema sana lakini kutokana na utendaji wao mbovu imapelekea mpaka kuvunjwa kwa geti maana watu wamejaa njee mpaka wamechoka.
Idara ya ulinzi na usalama ni matumaini yangu kuwa mmejipanga vilivyo katika kuboresha ulinzi.
Tuliza wewe [emoji41]Si mrudi nyumbani?
Kuna Uzi upo hapo juu ingia utakuta pichaKa photo
Tiketi za bure wapo bize wanauza hapo.Kuna watu wanataka kutumia fursa wapate chochote
Pole kwa kusikitika.... 😁Inasikitisha sana...