NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Mpaka Sasa mashabiki ni wengi kufikia hatua ya kuvunja geti na kuingia na hiyo inatokana na utendaji mbovu wa pale getini.
Kama timu imetangaza kuwa tiketi zote 60000 zimeuzwa watendaji walipaswa kufungua geti mapema sana lakini kutokana na utendaji wao mbovu imapelekea mpaka kuvunjwa kwa geti maana watu wamejaa njee mpaka wamechoka.
Idara ya ulinzi na usalama ni matumaini yangu kuwa mmejipanga vilivyo katika kuboresha ulinzi.
Pia, soma: Mashabiki wavunja mageti uwanja wa Benjamin Mkapa