Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,449
- 23,124
- Thread starter
- #21
Wewe kama una elimu ni elimu uchwara kabisa,na kama una ka-degree ka Chuo cho chote hicho Chuo ni fake.Kwa hiyo wakikupa mkopo wanakupenda,eh...!Hujui kwamba mikopo ni biashara,na wanafanya biashara na taifa lolote,haijalishi kama taifa hilo wanalipenda au laa.Mimi huwa nakereka kusikia eti mabeberu wanataka kutupora mali zetu eti sasa ni maadui zetu kwa kuwa tumewazuia! Beberu akuone adui na bado anakupa $600+millioni BURE, sio mkopo? Kwanza, tunaporwa au tunawapa wenyewe kwa kusaini mikataba mibovu kwa manufaa binafsi? JK alisema eti inabidi tukajifunze jinsi ya kuandika mikataba! Ajabu sana, wakati waziri anabadilisha terms za mkataba hotelini kwa ku strike out lugha asioitaka na kuweka yake. Tusiwalaumu mabeberu tulaumu viongozi wasio na uzalendo.
Halafuu,hivi ukae na wezi wachache,msaini mkataba uchwara wa kitapeli,halafu useme hujawaibia Watanzania kweli.Hujawaibia Watanzania kama umetumia mikataba isiyo na harufu ya kitapeli,otherwise wewe na wewe ni mwizi tu.Huo ndio ukweli.