Idara ya Ushauri wa Afya ya Marekani: Tanzania ni salama kutembelea

Wewe kama una elimu ni elimu uchwara kabisa,na kama una ka-degree ka Chuo cho chote hicho Chuo ni fake.Kwa hiyo wakikupa mkopo wanakupenda,eh...!Hujui kwamba mikopo ni biashara,na wanafanya biashara na taifa lolote,haijalishi kama taifa hilo wanalipenda au laa.

Halafuu,hivi ukae na wezi wachache,msaini mkataba uchwara wa kitapeli,halafu useme hujawaibia Watanzania kweli.Hujawaibia Watanzania kama umetumia mikataba isiyo na harufu ya kitapeli,otherwise wewe na wewe ni mwizi tu.Huo ndio ukweli.
 
Nadha uchaguzi umekari bia hapa tz. So kuna mikakati yao wamarekani sio watu wazuri hao
 
Unajua kusoma au kukurupuka? Wapi nimesema kuwa tunapewa mkopo? Huo mkataba feki uliwekewa bunduki kichwani kusaini? Ukiuza mali ya familia yako ukanywea pombe watoto wako watamlaumu aliyenunua? CCM brain, bila shaka.
 
Unajua kusoma au kukurupuka? Wapi nimesema kuwa tunapewa mkopo? Huo mkataba feki uliwekewa bunduki kichwani kusaini? Ukiuza mali ya familia yako ukanywea pombe watoto wako watamlaumu aliyenunua? CCM brain, bila shaka.
Sawa hata kama ni grant sio mkopo,bado sio bure,the story is the same,akupe bure wewe ni nani.Hivi ni msomi gani kama kweli ni msomi usiyejua kwamba whatever they are giving us,they are returning back what they stole.Hivi hujui kwamba wananunua commodities zetu kiwizi wizi wakishirikiana na viongozi wasio waaminifu kwa bei za kutupa,halafu wao wanakwenda kuziuza kwa bei kubwa sana kwenye soko la dunia and that is why we are demanding for a just economic order?Amkeni jamani.
 

Hapa tunazungumzia taarifa za hivi karibuni - wewe unatuletea taarifa za mwezi wa tano, Balozi mpya wa Marekani pamoja na mkewe wamepigwa picha Ikulu wakiwa na JPM hawakuvaa mask, we unafikiri Tanzania ingekuwa na maambukizi kama propaganda za Wakenya wanavyo dai,je,unafikiri Balozi na mkewe wangekubali ku-risk maisha yao?
 

Duh hata wewe ambaye kidogo huwa nakuona ukijadili kitaalam kwa hili umemezwa kama wenzako, hivi mlilishwa nini huko hamna mtaalam hata mmoja anayeonekana kutumia ubongo.
- Hizo taarifa nilizoweka hapo sio za mwezi wa tano, wacha kuwa mvivu nenda kazisome, utaona ni za siku kumi zimepita tangu Marekani watoe tahadhari dhidi ya Tanzania
- Hiyo video ya balozi wa Marekani ikulu niliitazama, alikua amevaa barakoa muda wote kaitoa ilipofika muda wa kupiga picha, ilikua kama aibu fulani hivi wapambe wa rais na yeye mwenyewe hakuna mwenye barakoa ila Wamarekani watatu wote wamejighubika yaani wanaonekana kama mazombi, alionekana kuamua basi.
- Marekani wametoa orodha ya mataifa ambayo yenyewe yamesema yanawapokea bila tatizo, sisi tumesema hatuwapokei, bado hatuna njaa hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…