Idara ya Utafiti Sera na Mipango mbona imesahaulika CDM

Idara ya Utafiti Sera na Mipango mbona imesahaulika CDM

tripof

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
829
Reaction score
1,120
Nimepitia idara zilizoanzishwa na viongozi wake kwenye awamu hii ya Lissu makao makuu ya Chadema, ninahisi idara muhimu ya utafiti, sera ,mipango na teknolojia haipo au wamepitiwa tu. kiukweli idara hii ni muhimu ikawepo kwa vile kuelekea kushika dola suala la utafiti, sera na teknolojia za kisasa ni muhimu kwenye chama chenu vinginevyo haitakuwa na maana hata mbinu mnayotumia kukusanya Tone Tone inabebwa na teknolojia. Mapambano na ushindani wa kisiasa inabebwa na teknolojia.Aidha idara ya usalama na intellenjensia nayo ni muhimu mno. Hizi idara hazikwepeki. Mwisho idara ya mawasiliano na uenezi iongezewe na uhamasishaji kwa vile vinaendana kwa pamoja katika siasa za kileo. Kazi kwenu.
 
Back
Top Bottom