Idara za ujasusi Marekani zatofautiana kuhusu chanzo cha kirusi cha korona

Idara za ujasusi Marekani zatofautiana kuhusu chanzo cha kirusi cha korona

Miki123

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
289
Reaction score
503
Idara za ujasusi USA zimeshindwa kuja na hitimisho kuhusiana na asili ya kirusi kinachosababisha ugonjwa WA covid(uviko).

Baada ya kufanya ushushu, wachunguzi wameafikiana kuwa Corona sio BIOLOGICAL WEAPON Kwa ajili ya kuangamiza watu.

Kuna nadharia mbili ambazo zina mgongano.

1. MATUKIO YA MAABARA YA WUHAN
2. WANYAMA
Baadhi ya idara za ushushu zinadai korona imeanzia kwenye MAABARA ya Wuhan inayofahamika kama Wuhan institute of virology.

Maafisa wengine uchunguzi wao unaonyesha chanzo cha korona ni WANYAMA.

Biden ameishutumu China kutokutoa ushirikiano na ameahidi majibu lazima yapatikane.

China inaishutumu marekani Kwa kuligeuza swala la korona kuwa la kisiasa.

Summary ya ripoti
 

Attachments

Ngoja tusubirie wao watasema nini na sisi tufuate uko uko.tusubirie sarakasi zao hizo ila ukweli wanaujua wao dhahiri ...
 
Back
Top Bottom