Idd Amin alivyofagilia kiswahili.

Kiswahili ni lugha poa sana ukiijua wengi tunaichukulia poa sababu tunaiongea toka wadogo. Ila waliojifunza wakaielewa wanaithamini sana.
 
Amini alijijengea maadui wengi Uganda, wengi walikuchukia Kiswahili kwasababu yake. Waliona Kiswahili ni lugha ya illiterates.
 
Kiswahili ni lugha makini sana
Nani moja ya nguzo muhimu sana kwa umoja wa nchi hii.

Jamaa alikuwa na maono mazuri sana.

South Afrika nayo imefuata tayari baada ya South Sudan
 
Kumbe alikua na maono mazuri tu kuhusu kiswahili.
Huyu jamaa alikuwa na mazuri yake pia.
👉🏾Alikataa misaada ya wazungu, alisema ina hidden agenda ndani yake ni kheri msaada wa mwarabu.
👉🏾Kuvaa ndala nje ya nyumba yako ilikuwa kosa la jinai. Hata kama unakwenda kununua kibiriti dukani vaa viatu na socks. Hii ilileta discipline katika mavazi.
 
Ha ha Safi angalau historia yake wangeyatambua haya mazuri kidogo aliyofanya
 
Kuna mtanzania alilihujumu taifa. Endelea kusoma hapa chini
Na mimi nasisitiza kuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…